We kova we mpe kazi za ofisi huyu;mtutu na yeye wala awaendani jamani

Jamani kuna picha ya dada mmoja aliwangurumishia majambazi waliouwawa hivi majuzi;hakika roho imenidunda gafla kwanza kuona mtoto mwenyewe na jinsi alivyopendeza;jamani embu mtafutieni kazi za ofisini walahi kova ningekuwa bosi wake huyu angekuwa secretary wangu ;hata kama shule ajaenda msomesheni hiki kichwa...loh kova mkono mbona uachii mzee
dada hongera kwa shuguli pevu;angalia waliokuchungulia kama mie wasikusumbue,mi nataka ufanikiwe kazini;mtutu sio kabisa na wewe dada


Lazima unatania siamini kama kuna mtu wa karne hii anayedhania kuwa ukarani muhtasi ndiyo kazi pekee ambayo binti zetu wanaweza kufanya. Kama Condoleeza( sp) Rice angekuwa ofisini kwako ungemfanya nini? Dada Migiro? Dr. Hawa Sinare? Dr. AK Tibaijuka?Na wengine wengi. Kuna makamanda wa kike wengi tu na wazuri wa sura na maumbo nadhani kama ulipitia JKT uliwaona baadhi yao.
 
Hii ni hatari kwa hawa mashujaa wetu. Tunaishi nao uraiani labda. Wakitoka kazini, hawabebi hata virungu afu tinawa expose namna hii. Kuna nchi moja nadhani ni Mexico, askari alifanikiwa kumuuua kiongozi wa kikundi cha mihadarati. Mtandao wa kikundi kile ulilipiza kisasa muda mchache baadaye kwa kuua ukoo mzima wa askari yule.

Nimesikia leo kuwa Kajubi Mukajanga (Mkuu wa wahariri wa habari nchini) akiwaasa wanahabari kuacha kuexpose picha kama hizi kwa kuwa ni hatari kwa wahusika. lakini tatizo linabaki kwa Kova... ina maana hajui/haioni risk hii kwa wana hawa wa wenzake?
 
Back
Top Bottom