We Judgement Umemfanya nn Husninyo?

Mteione !
Habari za asubuhi, nna imani, pombe zikikutoka utaelewa ulimisplace picha ya uliyemkusudia.
Husninyo yuko Illinois kwa muda mrefu, na last week nilimpigia akiwa study tours Charlotte (North Caroline)
So far , sijaelewa hicho kinyago ulichokiweka hapo ni kinyago cha wapi !
Yawezekana humjui Husninyo kama sio pombe kichwani imekuchanganyia mistari .

Ndo yeye huyo. Angali maandsh ya hlo bango nyuma ya Husninyo. Yupo Marekani.
 
Last edited by a moderator:
mpenzi wangu, mi namshangaa huyu mtei mtoto wa kiswahili bado anaendeleza majungu. Hebu mwambie wife wako husninyo ana nyama nyama za kuficha mifupa. Lol

Ndo wewe ulikuwepo ktk tamasha la American Music Award.. Husninyo ucbshe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom