We Judgement Umemfanya nn Husninyo?

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
nini kimempata mwandada huyu? mbona amekonda hvi?
Hapo camera ye2 ilmfuma live eneo la Boston City usa ktk utoaj wa tuzo.
 
Attachments

  • husninyo.jpg
    husninyo.jpg
    7.1 KB · Views: 56
Husninyo njoo tuandamane huku...
Huyu mtei analeta utani wa ngumi....
Anakufanya we kimodo wakati we mwili nyumba uzito wa Tembo poz la jogoo
 
Last edited by a moderator:

hahaha. Muandamane kwenda wap? Kwan me ndo nimemfanya hvyo? Ndo alvyo kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mteione !
Habari za asubuhi, nna imani, pombe zikikutoka utaelewa ulimisplace picha ya uliyemkusudia.
Husninyo yuko Illinois kwa muda mrefu, na last week nilimpigia akiwa study tours Charlotte (North Caroline)
So far , sijaelewa hicho kinyago ulichokiweka hapo ni kinyago cha wapi !
Yawezekana humjui Husninyo kama sio pombe kichwani imekuchanganyia mistari .
 
Judgement braza hii ni kashfa nzito...mtei ana kipaji cha kuvumbua mambo ati kama yule mbunge kijana!
 
Last edited by a moderator:
Mteione !
Habari za asubuhi, nna imani, pombe zikikutoka utaelewa ulimisplace picha ya uliyemkusudia.
Husninyo yuko Illinois kwa muda mrefu, na last week nilimpigia akiwa study tours Charlotte (North Caroline)
So far , sijaelewa hicho kinyago ulichokiweka hapo ni kinyago cha wapi !
Yawezekana humjui Husninyo kama sio pombe kichwani imekuchanganyia mistari .

mpenzi wangu, mi namshangaa huyu mtei mtoto wa kiswahili bado anaendeleza majungu. Hebu mwambie wife wako husninyo ana nyama nyama za kuficha mifupa. Lol
 
Last edited by a moderator:
mabwaku na wamekupata ile ile..

ndetichia! Mabwaku yako wapi ?
Haka kajamaa ni kalevi tu flani , kaliwahi tupia nyavu! Kwa Husninyo kakadondokea saburi .
Kalisha m'pm sana but Mtoto pm zake zote Tupa kureee !
Kamebakiza uvimbaji wa macho !
Na nyimbo mpya hana!
Mtoto yuko maunyamwezini ! Anabadili Mi'Bata kwa kwenda front !
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom