Wazushi mtandaoni. . .

Inasikitisha ehhh!!!?
Sasa fikiria hata mdada tu ambae hajiamini amini alafu apate na watu wakumchamba na kumchambua hivyo kama hatofikia kutamani mauti. Yani watu wanawanyima wenzao raha kwa madhaifu yao wenyewe.

Huyo mzee ni mzee haswa. . . ndo kama hawa wanautimia maneno, wengine wanatumia mikono yani alimradi ajisahaulishe kuhusu udhaifu wake kwa kumuonea mtu mwingine.
Mimi mwenyewe niliwahi kuchangia mada fulani kuna mtu akanivaa maungoni kama vile ile ishu ilikuwa ni "personal" na yeye ananijua kinagaubaga wakati hanijui hata chembe. Hadi nikamuuliza "tunaishi chumba kimoja na wewe?" kwa kweli ilinitumbukia nyongo wiki nzima sikugusa JF!! Mtu hakujui lakini anavyokushadadia kama vile ni mkeo/mumeo.

Kwenye hii mitandao usipokuwa mvumilivu mwisho wa siku unageuka na kuwa mtu wa ajabu ajabu!!
 
Pole sana....lakini wewe umeyataka mwenyewe! kwanini uuze sura yako hku mtandaoni? Ulikuwa una nia gani kufanya hivyo?
Mimi nimeshawazoea kushambulia Avatar yangu...but i wish wangeniona live!!!
Ndicho hata mie kilichonishangaza, japo nilihisi na naendelea kuhisi yawezekana wala si sura yake........ Ukiangalia kwa makini kwa mfano mi sikuchukulia kisiriaz kiviiile, tena na style ya uandishi wake nikajikonkludia mwenyewe kuwa ni demu anaturusha kiaina.... kumbe khaa!

Dont take JF too serious. Source: Kaizer
JF is Never boring. Source: The boss
 
Nani kakwambia kuwa mimi ni demu? au unataka hadi nikuvulie suruali ndio ujue kuwa mimi ni wa kiume?
 
Come on Lizzy.....

Usiniambie uzi wa Young Master umekutouch namna hii mpaka umekuja kuufungulia thread...... Hii ni Chit Chat watu tunajiexpress tutakavyo. Hakuna anayeuza sura humu, Na wala mi siamini kama ile ni picha ya kweli ya YM.

Isitoshe kuna mashindano ya kuuza sura humu? Over My Dead Body!

Hakuna atakayekulazimisha uamini. ukitaka amini, usipotaka acha lakini mimi najua ile picha ni yangu
 
YM usichukulie siriazi mambo ya humu, mwenzio nilishawahi kuitwa Shoga kwa sababu tu kuuliza kama tunahitaji kutunga sheria ya kuruhusu ushoga kwa sababu tunajua kwamba ushoga unafanyika kwenye jamii yetu. Humu kuna watu ukiwajibu wanavyotaka wao basi wewe ndiye utakayeonekana huna maana!!
 
mimi mwenyewe niliwahi kuchangia mada fulani kuna mtu akanivaa maungoni kama vile ile ishu ilikuwa ni "personal" na yeye ananijua kinagaubaga wakati hanijui hata chembe. Hadi nikamuuliza "tunaishi chumba kimoja na wewe?" kwa kweli ilinitumbukia nyongo wiki nzima sikugusa jf!! Mtu hakujui lakini anavyokushadadia kama vile ni mkeo/mumeo.

Kwenye hii mitandao usipokuwa mvumilivu mwisho wa siku unageuka na kuwa mtu wa ajabu ajabu!!
we post achana huko bwana.by the way kuna watu wanalazimisha attention.sijui huwa inawadd nini ? Mi huwa sijali mimi humu mtu mmoja tu ndo namchukia wengine wooote kwangu ni peace& love kwa saaaana
 
Mimi mwenyewe niliwahi kuchangia mada fulani kuna mtu akanivaa maungoni kama vile ile ishu ilikuwa ni "personal" na yeye ananijua kinagaubaga wakati hanijui hata chembe. Hadi nikamuuliza "tunaishi chumba kimoja na wewe?" kwa kweli ilinitumbukia nyongo wiki nzima sikugusa JF!! Mtu hakujui lakini anavyokushadadia kama vile ni mkeo/mumeo.

Kwenye hii mitandao usipokuwa mvumilivu mwisho wa siku unageuka na kuwa mtu wa ajabu ajabu!!

Hahahah. . . kumbe na wewe yashakukuta ehhh? Alafu wanavyokomaa basi, we hivi we vile. We sijui mzee we sijui umeachika wakati huyo mume huwahi kuwa nae. Sijui sura mbaya wakati hajawahi kuiona. . .mi hua nabaki kuwashangaa tu maana hua hawachoshi kwa namna wanavyoota, au sijui ndio huwa wanatamani mambo yawe hivyo kiukweli!!?

Ikitokea tena we cheka tu wataishi kujishtukia na kwenda kulia bafuni.
 
Hakuna atakayekulazimisha uamini. ukitaka amini, usipotaka acha lakini mimi najua ile picha ni yangu
Orayt then, ungefungulia uzi wako kwenye jukwaa "serious" la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki watu tungejua uko serious, lakini unapofungulia jukwaa la "masihara" Chit Chat........ hapa ni masihara tu!! Hapa ni kuchakachua tu! Siku nyingine unapoamua kuwa serious nenda kwenye majukwaa serious, sawasawa?
 
Yaani wamenishambulia hadi nimekosa raha! Hii dunia tabu tupu
Pole sana Y_M, usikubali furaha yako ipotezwe kwa ajili ya maneno ya watu! Potezea, endelea kujiamini na ujiambie kuwa wewe ni bora kuliko wao na ndio mana wamekushambulia! Ukiamua kufuatilia sana maneno ya watu utaja jifia siku sio zako!
 
we acha tu Lizzy!!!
Hii thread lakini itawapa fundisho...hop mtu akiipitia hatakaa amponde mwenzake!

Nakwambia. . . acha waendelee tu kurusha madongo yasiyo na mpango. Roho zitawauma mpaka zibaki makaa.
 
Hahahah. . . kumbe na wewe yashakukuta ehhh? Alafu wanavyokomaa basi, we hivi we vile. We sijui mzee we sijui umeachika wakati huyo mume huwahi kuwa nae. Sijui sura mbaya wakati hajawahi kuiona. . .mi hua nabaki kuwashangaa tu maana hua hawachoshi kwa namna wanavyoota, au sijui ndio huwa wanatamani mambo yawe hivyo kiukweli!!?

Ikitokea tena we cheka tu wataishi kujishtukia na kwenda kulia bafuni.
Wengine ni watu wazima ingawa si kiivo na tuna bahati tumeweza ku cope na "dot com Generation" lakini anaibuka mtu anadhani na siye tulikuwa tunasoma enzi za Mwaibula! kumbe wengine tulikuwa tunapanda UDA tu, enzi za Manzese Msufini siku hizi mnaita darajani!!
 
Come on Lizzy.....

Usiniambie uzi wa Young Master umekutouch namna hii mpaka umekuja kuufungulia thread...... Hii ni Chit Chat watu tunajiexpress tutakavyo. Hakuna anayeuza sura humu, Na wala mi siamini kama ile ni picha ya kweli ya YM.

Isitoshe kuna mashindano ya kuuza sura humu? Over My Dead Body!

Sio kitu kipya. . .
Nimeshaona sana watu wakifanya humu hata kwa wale wasiowahafamu, hata mimi wameshanijaribu wakaambulia patupu, na kabla ya YM nilikua naongea na mtu kuhusu kuanzisha thread yenye mlengo huu hivyo ya YM yamenipa tu msukumo zaidi na nimepata kugundua BULLIES zaidi ni kina nani humu.

Mambo ya kutochukulia serious au la yanaendana na mtu alivyo. Mimi sisumbuki nikiandamwa mimi ila najua wapo wengine wasio na ubavu wa kupambana nayo akilini wala kwenye keyboard. Kwahiyo nyie acheni uonevu bila kujali ni serious au la.
 
Orayt then, ungefungulia uzi wako kwenye jukwaa "serious" la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki watu tungejua uko serious, lakini unapofungulia jukwaa la "masihara" Chit Chat........ hapa ni masihara tu!! Hapa ni kuchakachua tu! Siku nyingine unapoamua kuwa serious nenda kwenye majukwaa serious, sawasawa?
Kumbe sometimes unajua kutoa shule serious?
hapa ni chit chat bana...hata ulichosema ataona kama ni masihara!!!
 
Mimi mwenyewe niliwahi kuchangia mada fulani kuna mtu akanivaa maungoni kama vile ile ishu ilikuwa ni "personal" na yeye ananijua kinagaubaga wakati hanijui hata chembe. Hadi nikamuuliza "tunaishi chumba kimoja na wewe?" kwa kweli ilinitumbukia nyongo wiki nzima sikugusa JF!!

Samahani. Wewe ni mwanamume au mwanamuke? Kama mwanamume,tafadhalihusiwe "too emotional" kwa mambo kama hayo. Yaani mpaka unashindwa kuingia JF wiki nzima? Hiyo siyo asili ya mwanamume.

Kama ni mwanamuke,that's nature at its best.
 
Wengine ni watu wazima ingawa si kiivo na tuna bahati tumeweza ku cope na "dot com Generation" lakini anaibuka mtu anadhani na siye tulikuwa tunasoma enzi za Mwaibula! kumbe wengine tulikuwa tunapanda UDA tu, enzi za Manzese Msufini siku hizi mnaita darajani!!
Hahah. . .
Inabidi uende nao taratibu hivyo tutafika.
 
Sio kitu kipya. . .
Nimeshaona sana watu wakifanya humu hata kwa wale wasiowahafamu, hata mimi wameshanijaribu wakaambulia patupu, na kabla ya YM nilikua naongea na mtu kuhusu kuanzisha thread yenye mlengo huu hivyo ya YM yamenipa tu msukumo zaidi na nimepata kugundua BULLIES zaidi ni kina nani humu.

Mambo ya kutochukulia serious au la yanaendana na mtu alivyo. Mimi sisumbuki nikiandamwa mimi ila najua wapo wengine wasio na ubavu wa kupambana nayo akilini wala kwenye keyboard. Kwahiyo nyie acheni uonevu bila kujali ni serious au la.
Sikuwahi kuwaza eti ntawezwa kukwazwa kwa maneno kwenye skriin yanayotoka kwa mtu NISIYEMJUA na nisiyetegemea kumjua....Yaani jitu limtukane Asprin? Unatukana kidonge, si utakuwa kichaa tu?..... Hebu ita hao watu waliokujaribu, pamoja na baba zao na babu zao uwaambie wanifanye watakalo...manina zao!
 
Back
Top Bottom