Wazungu washwahili duh

Kheee kazi kweli kweli. why not remain with your natural skin tone, still they can maintaine their real beauty now they just change to other colours and make it look bad bad !!
 
Mmmh Juu Mirinda chini Pepsi hata miguu yao inakuwa meusi muda mwingine ni hatari kwak weli itafika mdua hizo dawa zitawachoka na hawatajua nini wafanye....ndo hapo wataomba ardhi ipasuke waingine.
 
waacheni bana...

mbona wengine tunavaa mawig,tunatia chemicals /relaxer nywele etc ....

na bado tunaongeza na vikorombwezo vingine poda,lipstick etc....

nani ana uwezo wa kutoka kama ALIVYOZALIWA???

kisaikolojia kama hujikubali ndio utapaka mkorogo,ili ujifiche behind mask....wenzenu wako affected kisaikolojia na hio ni kama therapy....!
 
Masikini I always say wanawake wengine wanaishi kwa kuendeshwa na matakwa ya wanaume (they live according to men's perspectives) Yaani wanaume wakihusudi viportable now wanajikondesha ili wawe viportable
- Wanaume wakitaka wanawake wenye coulored skin, ndo hivyo wanachubua skins zao
- Wanaume wakitaka wenye mawowowo na shape basi wachina wanafanya biashara yaani ah

Hebu wanaume badilisheni anzeni ku-go for blakies tuone kama hawajapaka piko mwili mzima.

Wananichosha sana mie!!

MJ1
Hivi inakuwaje dada zetu, unakuta mke wa mtu anakuwa na tabia hizi.
 
samahanini jamani, lakini huyu dada mie hamna cku nimependa kuanzia uvaaji hadi cjui make up, kuna pic hapo yaani kajikandika ma powder balaa...cjui mshauri wake nani jamani.

same here, mimi huwa ananiudhi kweli kweli!!! hajui kuvaa, hajui kuweka makeups basi tabu tupu.......

sijui walimtoa kijiji gani na wasimpe orientation ya mambo muhimu kwa kazi yake.........

sasa ni mteja mzuri wa Maimartha!!!!
 
Kama kweli kujichubua deal basi hata makalio yangekuwa meupe peee. hata ujichubue vipi ila ngozi ya **** inabaki vilevile.Nawahurumia tu hawa madada maana kansa in the corner na jua hili lazima wakione.
 
same here, mimi huwa ananiudhi kweli kweli!!! hajui kuvaa, hajui kuweka makeups basi tabu tupu.......

sijui walimtoa kijiji gani na wasimpe orientation ya mambo muhimu kwa kazi yake.........

sasa ni mteja mzuri wa Maimartha!!!!

halafu ana vi style vyake vya ajabu ajabu huko kichwani bac ndio vinaharibu kabisaaaa, yaani cjui hata nielezeeje, kwani mtu unashindwa kuwa cmple tu jamani.
 
waacheni bana...

mbona wengine tunavaa mawig,tunatia chemicals /relaxer nywele etc ....

na bado tunaongeza na vikorombwezo vingine poda,lipstick etc....

nani ana uwezo wa kutoka kama ALIVYOZALIWA???

kisaikolojia kama hujikubali ndio utapaka mkorogo,ili ujifiche behind mask....wenzenu wako affected kisaikolojia na hio ni kama therapy....!

kuna tofauti sana kati y ahivyo vikorombwezo, athari ya wigi, relaxer au lipstic inafanana na ya kujichuna ngozi kweli??
 
halafu ana vi style vyake vya ajabu ajabu huko kichwani bac ndio vinaharibu kabisaaaa, yaani cjui hata nielezeeje, kwani mtu unashindwa kuwa cmple tu jamani.
kiukweli Sauda ni mshamba na limbukeni!!!!

hajui hata wat fits her right!!! yuko hovyo kabisaaaaaaaa

if she could only know......simplicity is the best...............aaah i hate the way she dresses!!!
 
kuna tofauti sana kati y ahivyo vikorombwezo, athari ya wigi, relaxer au lipstic inafanana na ya kujichuna ngozi kweli??

mikorogo pia,sidhani kama ina athari...labda hio ya kichina,lakini najua ya madukani imepimwa...na ipo to serve that purpose(skin bleaching)...
 
mikorogo pia,sidhani kama ina athari...labda hio ya kichina,lakini najua ya madukani imepimwa...na ipo to serve that purpose(skin bleaching)...

hizo bidhaa si ndio TBS na TFDA wanapigana nazo kila siku jamani???
 
am kweli
gradual changes Saida.....ndo umekuwa hivi sasa? last time I saw u ulikuwa una alama kibao za weusi weusikweye kwapaz, na viungio!!!

haya safari njema kuelekea 'ocean road' kwa Dr. Ngoma

Shangaa wewe dada yangu mie nakumbuka those years walipoanza kipindi na kale kadada kengine kembamba hapo shtaa vitii! alikuwa na rangi ya kiafrika nzuri tuu!

Nashangaa leo kuona uso umebabuka hivi; cjui keshapoteza layers ngapi?:angry::angry:
 
hakujua thamani ya rangi yake, rangi ambayo could never be faked!!!

siku hizi sijui kakaaje kaaje, kiuchafu chafu tu!!!

mimi bado nasema all the best kwenye safari yao kuelekea ocean road kaka!!!
 
mikorogo pia,sidhani kama ina athari...labda hio ya kichina,lakini najua ya madukani imepimwa...na ipo to serve that purpose(skin bleaching)...

asubuhi akiamka kula contraceptives zake anakula na skin bleaching pill yake .......kwa raha zake!

tofauti ni moja tu...............hizo nyengine zina vipimo, priscribed by a doctor. hizo skin bleaching pills pia ameandikiwa na daktari?

au ndio utasema ni cream? cream kuji bleach mwili mzima angemaliza ma tangi nadhani .......
 
nyie mnaohofia mwenzenu atapata saratani ya ngozi,i bet mtakuwa wa kwanza kuondoka na saratani hizo nyengine....

unless wale wanaotengenezea mikorogo nyumbani(home made mikorogo) mbayo haizingatii vipimo vya maabara,but i think hio mikorogo iliyopo dukani are safe to use,unless proven otherwise.....

ofcourse kuna opportunisst wanatake advantage ya hio market ya mikorogo,hivyo kuibua story za hapa na pale...but hawa wapo kila mahali hadi kwenye madawa feki sometimes tunakunywa.....!,hawaishii kny mikorogo tuu...

unless mje na statistics kuonyesha uwiano kati ya matumizi ya mkorogo na hio saratani ya ngozi....i dont b'liv what you all guys are saying....

mkorogo ni sawa na plastic surgery tu kuongeza ****** ama matiti...linaweza lisiwe jambo linaloappeal kwa kila mtu,but so long linaongeza confidence ya mtu ana the person is happy to use...sioni why we should condemn.....
 
samahanini jamani, lakini huyu dada mie hamna cku nimependa kuanzia uvaaji hadi cjui make up, kuna pic hapo yaani kajikandika ma powder balaa...cjui mshauri wake nani jamani.

Hata mie mhh ukiangalia miguu yao kama wanafanya kazi ya kuuza mkaa maana balaa! si bure wanahitaji msaada wa nguvu hawa aibu tupu!!
 
Back
Top Bottom