Wazungu Pia wana imani na Uchawi haya Tena Paka Mweusi Atinga Uwanjani nchini Spain!!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
Tumezoa kwa sana hali kama hizi zikitokea katika ardhi za kiafrika lakini kwa Tanzania tungesema mengi sana na hata kutaka kuzipiga uwanjani yaani wachezaji kwa wachezaji ama hata washabiki kwa washabiki,lakini sasa hebu amini hiki ni kituko kilichotokea katika mchezo kati ya Fc Bercelona na timu ya ELCHE iliyomalizika kwa timu ya Bercelona kushinda mabao mawili kwa bila(2-0).
Lakini cha kushangaza mchezo ulisimama dakika kadhaa kupisha kituko hicho cha paka mweusi tiiiiiiiiii aleikatiza uwanjani duhhhhhhhhhhhhhhhh hata kwao wapo bwana!


 
Mzizi Mkavu, ni kweli uchawi uko sehemu nyingi duniani isipokuwa juu ya Israel. Lakini wewe ni kitu gani kinakufanya uamini kwamba paka mweusi ni uchawi? Kwani hakuna paka mweusi wa kawaida kama kiumbe tu ambacho si uchawi?

Kwa nini kusimamisha mchezo kumpisha paka apite unakukimbizia kwamba wanaamini uchawi?

Huko Uhispaniola hakuna waafrika (kama ndio unawafahamu kwa uchawi), hadi uwahamishie hicho kitu wazungu?

Je kama ni nyau wa kawaida tu alikuwa anajipitia nao wakaamua kumuacha apite kwa utaratibu wao wa kuthamini haki za wanyama?

Wewe naona ndiye umekubuhu kwenye imani za kichawi!.

Lini unakuja bongo?
 
...

....wathungu chawi sana !!


Essence-of-Wizard-3.jpg
 
umeambiwa asilimia 70% ya wajerumani kabla hawajafungua biashara huwa wana consult fortune tellers. wazungu ni washirikina sana. huko uswiss wanakotengeneza madege ya kivita na ma scania volvo etc wanafuga hadi misukule ya kizungu. amini usiamini ni kweli.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom