'Wazungu ni wachoyo'-Mugabe

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Rais Robert Mugabe amesema kuwa wazungu ni wachoyo ndio maana wamemnyima kura Bi Okonjo ambaye alikua akiwania nafas ya ukuu wa benki ya Dunia,BWana mugabe amesema kuwa wazungu wanataka position zote wawe nazo wao tu jambo ambalo haliwez kuleta ustawi wa usawa kwa dunia.....ametolea mfano wa Imf na benk ya dunia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom