Wazungu na Dada zetu wa kibongo

Halafu kwa taarifa yako wazungu wanatumia mitandao yote kwa hiyo lazima itafika kipindi matambara yatawahusu
 
huku Arusha ndio style ya madriver guide wengi, unakuta mtu ana mke na watoto anatafuta mzungu kwa nguvu zake zote, akishampata huyo bibi wake anamwambia mke akae kimya huu ni wakati wa mavuno. na wanawake wengine tena wengi tu wanapiga kimya wanaona ni jambo la kawaida tu. na bibi wa kizungu anaambiwa sina mke wala mtoto. Sasa tutasema haya ni mapenzi kweli
 
huku Arusha ndio style ya madriver guide wengi, unakuta mtu ana mke na watoto anatafuta mzungu kwa nguvu zake zote, akishampata huyo bibi wake anamwambia mke akae kimya huu ni wakati wa mavuno. na wanawake wengine tena wengi tu wanapiga kimya wanaona ni jambo la kawaida tu. na bibi wa kizungu anaambiwa sina mke wala mtoto. Sasa tutasema haya ni mapenzi kweli
Hapo hakuna mapenzi.....ila kuna utumwa.....wa pesa
 
wengi ni wale ambao hawana kazi za kueleweka wanawafuata hawa wazungu kwa ajili ya pesa, demu anachofanya ni kujua tu kingereza au kiswanglish, kumpa mzungu utamu na kupokea pesa
wengi wao wazungu ni wakubwa sana kwa age, anataka mtoto wa kuliwaza ataenda wap zaidi ya machangu

Umenikumbusha mwaka flani pale mabibo hostel, dada mmoja mwanachuo alikuwa anaonekana desent sana. Kumbe alikuwa na kibabu chake kiitaliano kikaja kumtembelea. Sasa wakati wanawasiliana akamwambia yupo cafeteria mabibo. Babu alipomuona (tulikuwa wanachuo wengi tunakula) kikamdaka na kusema, mwwwwwaaaaaaa darling.... Kikambeba na kumweka kwenye siti ya gari kama mtoto. Ilikuwa aibu kwa yule sister akahama hostel for a week na zaidi. Baadaye alipoulizwa akasema alikutana naye club. Hawana ujanja kuwapata dada zetu waliotulia.
 
hapo nimekuelewa mpenzi na hao unaowazungumzia ni macriminal hao,wenye heshima zao huwa hawafanyi hivyo na hata wakioa wazungu wenzao huwa wanaoa wenye tabia kama zao,nilidhani vimini nikasema looo jamani mnatuonea maana wengine tunajijua wenyewe mpenzi maguo mapana na marefu yamezidi sana juu ya goti.....
Shosti hapo umenena . Wengi wa hawa wazungu ni macriminal wamekimbia kwao wanakuja kujificha. Wengi wao utawakuta wanakaa miaka nenda rudi na pesa zao husikii wakirudi kwao. Wengi sana wanatafutwa na FBI. Mimi natuma angalizo kwa wale wote wenye wazungu msishangae mkikuta fbi in bongo. Halafu wengi wao rahisi kweli kuwakamata maana wake zao wanawaexpose kwenye mablog kimno hao hawatakuwa na shida ya kubainika.
 
mi wazungu nawachukia sana hasa nikimuona na dada zetu, wakati niko chuo demu wangu aliniambia alitolewa ile kitu na mzungu (alikuwa anamfundisha kuogelea akakibaka majini) tangu siku hiyo wazungu wote niliwachukia

hawa jamaa wanapenda sana videmu vyembamba na demu akiniambia katembea na mzungu ile kitu inakosa nguvu
 
Ze opposite is true, hapa zenj utakuta wasichana wazuri wakizungu wakiwa na sampuli za wavulana kama hao wasichana unaosema. Na pia utashangaa kuona vibibi vya kizungu navyo vinaenda vimekumbatiwa na ha vijana wadogo. Kwa ufupi kama wewe ni mwanaume unataka msichana wa kizungu nenda zako kapate bangi, timua nywele, suruali fungia matakoni hapo ni mara moja kama si msichana wa kizungu basi utapata kabibi. Au vaa kimasahi na kuaza kusema mimi nimeishaua simba hapo mzungu hana la kusema!

Kwa kawaida hawa wazungu wanataka msichana/mvulana ambaye ana muda wa kuwa nae muda wote, sasa wasichana/wavulana wenye heshima zao si wapo makazini muda mwingi kaka! Hapo hutawezana na hawa wazungu, wengi wao wamekuja tu kwa muda na wanataka kufurahia maisha kwa muda mfupi na kurudi kwao
 
Wazungu wanahitaji mtu ambaye ni funny and rough siyo mtanashati, kwa kuwa wenzetu huwa hawa pretend/act behaviour kama sisi. They believe kila mtu yupo huru na hatakiwi kudanganya katika mapenzi na mambo mengine.

una uzoefu kama wangu kuhusu hawa wazungu.as to any general rule there is an exception,but sincerely speaking wengi ndivyo walivyo.ukiwa rough,mbayaaa halafu mrefuu,ndiyo unachukua demu wa kizungu.ukiwa na marasta,una kipaji cha kuimba,kucheza,unakula bangi;hapo haruki ng'o.

Kwa kawaida hawa wazungu wanataka msichana/mvulana ambaye ana muda wa kuwa nae muda wote, sasa wasichana/wavulana wenye heshima zao si wapo makazini muda mwingi kaka! Hapo hutawezana na hawa wazungu, wengi wao wamekuja tu kwa muda na wanataka kufurahia maisha kwa muda mfupi na kurudi kwao

umesema kweli.huwa wanapenda watu wasiokuwa busy.ukiwa busy busy huna muda nae,lazima atakupiga chini!
 
blacks wengi wenye mafanikio katika maisha wa me/na oa wazungu.hivi ni mapenzi tu au kuna mengine?
 
WAZUNGU WENYEWE WACHAFU ALAF HAWANA MPANGO HAO NDO SAIZI YAO BANA:tongue:

Ni marachache sana kukuta mwanaume wa kizungu akiwa na demu wa kibongo(mbantu) aliyetulia,mwenye kujiheshimu,mwenye elimu au hata mwenye kazi mzuri. Badala yake ukikutana na hawa wazungu huku mitaani utakuta yupo na demu ambaye unashindwa kumjudge!! yaani teja si teja....changudoa si changudoa....bangi si bangi....yaani nguo utazoona amevaa huyo mwanamke utasema ameokota jalalani! .....yaani mchafu kwenda mbele. Pita maeneo ya posta, masaki,osterbay,kariakoo nk. utajionea mwenyewe. Swali langu ni - Hawa mashemeji zetu wazungu kwanini wanapenda mademu wa sampo hii? kwanini wasiwe na mademu wenye sifa nilizozitaja hapo juu? Au kuna siri iliyojificha?

Nakaribisha mgongano wa kimawazo na kimtazamo:- Ahsanteni
 
kah mie walivyo nitoka hawa wakaka wa bongo naomba mungu nipate hata kibabu kilichoisha meno hata ikiwezekana na fizi zimeanza kungooka as long as i will find my happiness there ooh my God will go fo it na sitajali hata kidogo

Utaishia kumwesha uji huyo kibogoyo..ha ha
What kind of happiness do you want to find??! If you can't make yourself happy, no one will do!..it starts with you mamii!!.
 
Wazungu wenye busara na elim ndefu, wanapenda mwanamke original. Na wanapenda wale natural, kama vile wa kijijini.
Sio hao fake fake, wa bandia,kuanzia nywele hadi mavazi
 
Hili swali lina ukweli kabisa mie hata huwa najiuliza hivi kwanini wazungu wanakuwa na wanawake hadi unaona aibu wanavyovaa aise.

Mzungu mie namuogopa sana kwa yale mambo ya tigolization labda na wadada wa heshima wengi hufanya hivyo maana duh unakuta mwanamke kavaa kama anajiuza
Yaani we acha tu, afadhali na Tigo. Mie kukojolewa mdomoni ndo nitatapika kila nikikuona. Ogopa shida na kutafuta.
 
Tatizo sio uzungu tatizo wengi wanakuwa vibabu,utakuta binti yuko kwenye 20's anaolewa na mzungu mwenye 40's hadi 50's
 
Back
Top Bottom