Wazungu na Dada zetu wa kibongo

labda muonekano wa mambo mengine,ila kwa mavazi naona tunatofautiana kimtazamo na wazungu,sie huku kuvaa sketi ndefu na nguo zinazostahi mwili ni heshima wakati kwa mzungu ni kituko,akija na joto la Dar haexpect uvae nguo hizo,badala yake nguo zile fupi,vikaptula nk ili usife na joto,.....
Je, uko teyari kufall in love na mzungu au na wewe unawaogopa kama dada Dena Amsi?......ha ha haaaa...
 
umeongea vyema mami,mavazi ni mavazi tu hayamnasibishi mtu na chochote kile,sijui tutakuwa lini kila mmoja anauashi wake kwenye mavazi kama unavaa ndefu mwenzio fupi,pana mwenzio yakubana....

Shosti hatuzungumzii kuvaa kimini au skin jeans mbona hata sie tunavaa tu lakini Shosti wewe huwezi ukavaa kimini ukafanana na hao wadada wanaokuwa na wazungu mara matatoo, mara mavitu vitu wamejiwekea mwili mzima ya ajabu ajabu. Vimini mbona kwa sana tu lakini sio kama vya hao bana
 
Nafikiri ni mazingira wanayokutana.
Mmmh....Dada angu wewe!.....kumbe nikitaka kukuona ni lazima niingie kwenye post
za malavi penzi.....vinginevyo....sikuoni ng'o. karibu na kwenye topic za siasa pia....... lakini Je, ujambo?
 
kah mie walivyo nitoka hawa wakaka wa bongo naomba mungu nipate hata kibabu kilichoisha meno hata ikiwezekana na fizi zimeanza kungooka
as long as i will find my happiness there ooh my God will go fo it na sitajali hata kidogo
 
Mmmh....Dada angu!...Hao wakaka wa kibongo walikufanyanini mpaka unaongea hivi? Na kwa huyo babu wa kizungu utafata pesa tu
au mapenzi ya kweli toka moyoni kwako?
 
Shosti hatuzungumzii kuvaa kimini au skin jeans mbona hata sie tunavaa tu lakini Shosti wewe huwezi ukavaa kimini ukafanana na hao wadada wanaokuwa na wazungu mara matatoo, mara mavitu vitu wamejiwekea mwili mzima ya ajabu ajabu. Vimini mbona kwa sana tu lakini sio kama vya hao bana
hapo nimekuelewa mpenzi na hao unaowazungumzia ni macriminal hao,wenye heshima zao huwa hawafanyi hivyo na hata wakioa wazungu wenzao huwa wanaoa wenye tabia kama zao,nilidhani vimini nikasema looo jamani mnatuonea maana wengine tunajijua wenyewe mpenzi maguo mapana na marefu yamezidi sana juu ya goti.....
 
Mmmh....Dada angu!...Hao wakaka wa kibongo walikufanyanini mpaka unaongea hivi? Na kwa huyo babu wa kizungu utafata pesa tu
au mapenzi ya kweli toka moyoni kwako?

yani kaka wala sitafuti pesa hata akiwa hana for me it doesnt matter
its just a state of mind..ninamaanisha
 
Mmmh....Dada angu wewe!.....kumbe nikitaka kukuona ni lazima niingie kwenye post
za malavi penzi.....vinginevyo....sikuoni ng'o. karibu na kwenye topic za siasa pia....... lakini Je, ujambo?

ha hahaha!
Kule nachangia mara chache. Mara nyingi Huwa nasoma tu.
Hii thread yako hii. Mmmh....!
 
Shosti hatuzungumzii kuvaa kimini au skin jeans mbona hata sie tunavaa tu lakini Shosti wewe huwezi ukavaa kimini ukafanana na hao wadada wanaokuwa na wazungu mara matatoo, mara mavitu vitu wamejiwekea mwili mzima ya ajabu ajabu. Vimini mbona kwa sana tu lakini sio kama vya hao bana

unajuaje inaonekana na yeye ana libabu la kizungu ambalo halina hata meno
 
Mhhh jamani kuna wengine wasomi sana tu wameolewa na wazungu na wanaheshimika sana hapa bongo msiseme wote
 
moz-screenshot.png
moz-screenshot-1.png
View attachment 25116View attachment 25117

Haya ndo wanayoyakimbilia. Huyu Kili mume wake mzee fulani, ambaye hana hata meno. ukimkuta qbar, utacheka kweli

Kwenye red, Una maanisha kibogoyo au???:lol::lol:
 
Ni marachache sana kukuta mwanaume wa kizungu akiwa na demu wa kibongo(mbantu) aliyetulia,mwenye kujiheshimu,mwenye elimu au hata mwenye kazi mzuri.

Mkuu kwa experience yangu mademu wa kibongo wachukuliwao na watasha ni micharuko, mapepe na wasiojiheshimu haijalishi kama demu ana elimu ama kazi nzuri. Sababu nishaona mademu micharuko wenye elimu (in this case elimu ya chuo kikuu) ama kazi nzuri (in this case white collar job) wakitafuta watasha kwa kila mbinu
 
Nadhani wanachohitaji ni kuwa na mtu ambaye atadivert muda wake kwa ajili ya kazi moja tu yaani mapenzi na kutalii. Kwa hiyo hao akina kaka au akina dada unaowatolea mfano, ndo wanfiti hii aina ya maisha maana ni jobless na hawafikirii kufanyisha sana akili kwa ajili ya maisha kwa hiyo wanamuda wa kutosha kuwaintertain hao. Ni sawa tu na kukuta vijana wadogo na mashuga mami ambayo yana hela ya kutosha kuwatunza ilimradi tu yapate hizo intertainments. Lakini watu ambao ni business oriented huo muda wa saa zote kuongozana na kutalii watautoa wapi. Kwa hiyo hata kama ikitokea kuwa in relationship hamtokawia kuboana kwani mtu ambaye ni busy anaweza asikubaliane na baadhi ya conducts.
 
Wazungu wanahitaji mtu ambaye ni funny and rough siyo mtanashati, kwa kuwa wenzetu huwa hawa pretend/act behaviour kama sisi. They believe kila mtu yupo huru na hatakiwi kudanganya katika mapenzi na mambo mengine.
 
sio wadada wa bongo tu, tembelea site za penpals wajapan (wasichana) wengi wanataka wazungu.
Personally nilicheat kwa mzungu na ikitokea leo nikapata tena zungu namsaliti bf wangu.

i will never and ever mkubali mhindi mwarabu au mjapani
iwas born for africans and mzungus
 
Back
Top Bottom