Mahai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2010
- 351
- 38
Wewe na hovyo kweli unamaanisha nini????? Kwani lazima udungwe sindano ndio uige mambo?. Hujui kwamba watu wanaiga mabaya na mazuri ktk jamii au wewe unaishi dunia ya ngapi? Inaonyesha uelewa wako mdogo sana ktk mambo mbali mbali. Usijibu comment ilimradi uonekane umejibu au unanifahamu ndio maana unaleta upinzani?
Changia topic kama unamaneno ya kuongea kama huna kaa kimya.. Hiyo topic nadhani hujaielewa na vile vile hao wazungu wenyewe unawasikia na kuwaona kwenye TV tu...
Nilikuwa nasupport point ya binti kisura wewe unaachama achama tu ili mlimradi uongeze number ya post!
Habari ndio hiyo !
Regards
Sasa wewe utamuona mtu anatembea na chupi peke yake na wewe uige???? Kisa watu wanaiga mabaya na mazuri, ina maana akili yako haina uwezo wa kuchagua jema na baya la kuiga, we vipi, ina maana siku ukiwa na nyadhifa fulani serikalini utakuwa fisadi pia?