wazoefu wa kukwea pipa

Usisahau koti zito kwani ulaya kwa kipindi hiki ni baridi japokuwa inaanza kupungua, baridi ya ulaya ni nyepesi na kali sana kuliko hii ya kwetu makambako. Koti uwe nalo mwenyewe wakati wote na usiweke kwenye bag kubwa kwa kuwa utashindwa kulitoa. Na ndani ya ndege pia huwa kunabaridi usiku.
 
I learned everything the hard way, no ready made.

Kwani sijui mie mambo yenu, kitu kidogo mnakompliketiii.

We nenda hata hapo sweat Easy au Osaka Masaki, unaagiza chakula, unaletewa makabrasha ya kujisomea.
Menyu yenyewe Chickeni breast, nimekua nikifuga kuku kijijini sijawahi ona matiti ya kuku.

Niliwatukana mgahawa mzima nikasepa zangu, nikaenda gonga chips kuku kwa Edo.
Pesa yangu mwenyewe inipasue kichwa lol.
Kongosho umenimaliza kwa kicheko. Umenikumbusha rafiki yangu aliyeenda KFC akasema anataka Chicken thigh. Mhudumu alibaka hana mbavu.
 
Unataka kupita Amsterdam tu airport au u have things to do there? Sina uhakika kama ukiwa na visa ya ufaransa waweza ingia nchi zote za playa etc ila Ulizia, ila kama ni kupita tu then u don't need visa.

kata tiketi ya KLM utapita Amsterdam transit
 
Ukitaka kutoka nje labda uwe komoni flaya.

Lakini kama bado una blanket usoni, I swear tutakuona BBC, au dochi wele, alijazira au CNN unalilia kurudishwa TZ.
Watu siku ya kwanza kwenda Dar tu tulipotelea Kariakoo, tukaokolewa na ITV. Imagine walinifuata toka Tandika-Buza hadi Mikocheni.

Walosema kuku mgeni hakosi kamba mguuni walikuwa na maana sana.

umenikumbusha kitu,nimecheka sana,nadhani siku yangu itakua nzuri sana,nimecheka asubuhi.
 
I learned everything the hard way, no ready made.

Kwani sijui mie mambo yenu, kitu kidogo mnakompliketiii.

We nenda hata hapo sweat Easy au Osaka Masaki, unaagiza chakula, unaletewa makabrasha ya kujisomea.
Menyu yenyewe Chickeni breast, nimekua nikifuga kuku kijijini sijawahi ona matiti ya kuku.

Niliwatukana mgahawa mzima nikasepa zangu, nikaenda gonga chips kuku kwa Edo.
Pesa yangu mwenyewe inipasue kichwa lol.
khahahahaaaaaaaaahhhhhhaaaaa................!
kongoshoooooooo............................!
we kama mimi bwna, nikienda migahawani/hotelini hua nakereka sana.
walitu wa kawaida unapewa jina la ajaaabu! me huwaamba wantafsirie kwa luga rahisi kabisa.
 
Back
Top Bottom