Wazo: Wana jm forum nasi tufanye party ya mwaka tufahamiane

Kukutana hakuna ubaya kama lengo la kukutana litawekwa wazi. Lakini nashauri members wasijuane ID zao.Ingawa kwenye attendance book yaandikwe yale ya JF.Na pia wasizuiwe watakaotaka kujuana personally. Kikubwa lengo liwe na maana kwa Jamii, isiwe kufahamiana.Ahsante.

Ndiyo identity zetu zinaweza zikafichwa (ukitaka), lengo ni kujumuika pamoja chini ya mwamvuli wa wana Jamii forums, na kutumia kusanyiko hilo kutenda tendo fulani kwa manufaa ya jamii. Nina hakika ma moderators wanaweza wakasimamia hili na party ikawa bab kubwa.
Jamani let's do this!
 
Ma moderators wa Jamii Forums, vipi hili suala mnalionaje?
Tuachane na chit chat na kuweka mikakati jamani
Mpo wenyewe wakereketwa wa Jamii forums? This can be done
 
Back
Top Bottom