Wazo: Wana jm forum nasi tufanye party ya mwaka tufahamiane

Tukutane kisha tufahamiane ili iweje???
1- mnataka kutambika?
2-mnataka kujuana makabila na mlikotoka ili tuanze kubaguana?
3- huyu mzanzibari na yule mzanzibara..dhambi ya ubaguzi haitakuacheniii

ki-msingi au hata ki-secondary mie sioni haja ya kukutana...ndio maana tunatumia fake id's ili tusifahamike so tukishakutana itakuwa haina maana tena ya kuficha id's zetu...
 
I have a different Idea
Tungeandaa Dialogue kila Friday from 1600 to 1800
Topic iwe ile ambayo imechangiwa na watu wengi zaidi in the previous week

Naona hii itajenga zaidi jamii kuliko party.
Alaf na wale wasiojua kusoma watasikia michango ya watu

Naunga mkono hii hoja; hli la kuandaa party pia sio baya ni kweli wengi tunajua na humu na kuna watu tunawajua wakati wao hajui kuwa tunawajua.................so wala hakuna kuogopa!
 
"the member you know you can trust"


mimi nitafadhili bia kwa wageni wote.
 
kiintelejensia itakuwa ni vigumu zaidi. Kama unahitaji kuonana na member yeyote. Wasiliane nae tu kwa PM
 
Mimi najua kama takuja najua lazima tapiga mtu risasi..bora nisije tu kwenye party yenu
 
kabla hujapenda kukutana na mtu jiulize mko same class?binafsi naamini wengi humu sitocope nao kwahiyo hii idea ya kukutana naichukulia ya kishamba!.....jikutanishe na uliosoma nao au kabila lenu au hamia Arusha!watu wa mbele,kinondoni hawana muda!
 
1. Najiuliza kulikoni na tumekosa nini hata kujipa adhabu ya kujilinganisha na mtandao huo kiasi cha kuiga mfano wake.
2. Inamaana kila kitu kianzishwacho lazima kiji evaluate kwa sherehe?
3. Nini kitafuata baada ya kukutana huko? Kuanzisha DECI? Au UPATU?
Mimi nadhani hivi tulivyo tunatosha sana, wanaofahamiana waendelee kukutana, na wengine tutazidi kufahamiana tu kulingana matukio lakini si kwa style hii ya siku fulani na deadlines(sherehe na kalenda)
 
Tukutane tusikutane mimi naona sawa kama maisha yanaenda kama nikivyopanga
 
Back
Top Bottom