WAZO: Tumsaidie Anne Kilango katika janga la Same

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Najua kila moja atakuwa na mawazo yake ,,kwanza napenda kuchukua nafasi hii kumpa pole/kuwapa pole mh A.k.malecela na wana same kwa ujumla kwa haya yaliotokea....tunajua watanzania wote tuliwapenda ndugu zetu lakini MUNGU aliwapenda zaidi.....
Ndugu wapendwa kama mnavyoendelea kuona baadhi ya picha za maafa ya same tunaitaji kuwa na roho ya upendo kwa wale ndugu zetu walioathirika..zipo familia zimebakiza watoto hawana misaada,zipo nyumba zilizofyekwa,ndugu wapendwa zoezi hili tusimwachie wakina MENGI,KILANGO,TANGA CEMENT,na wengineo tunaomba tuchukulie kwa uzito...kwa mpango huu tunaomba tusaidie watu wale kwa hali na mali...na hasa zaidi SALA zako zinaitajika...kama unauwezo wa kufikisha chochote nii vizuri ukafanya hivyo ama ukauliza mawasiliano yoyote na MB MH A kilango....BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
...........
 
Hoja yako ni mzuri sana, lakini kutanguliza kwamab tumsaidie mama kilango, for me it sound too political!!! never put serious social problems in political way!!! Sasa hapo hata kama Rostam alitaka kusaidia unafikiri atasaidia na thread yako hii!!! I don't like all politicians kwa kutaka kugeuza matatizo ya wananchi kufanya mtaji wa kisiasa!!!nimemuona mama kilango jana kwenye TV wakati analia!! ametia huruma sana, hata nami nikawa nakaribia kumuunga mkono kwa chozi lake!! hata hivyo, sina hakika endapo chozi lile ni la kuwahurumia wapiga kule wake, au ni chozi la mwanamke ambalo aghalabu halina spid gavana, au ni political tears!!!
 
serikali si ipo plus wapiganaji they are in better position to help her kuliko sisi.by the way si kuna kitengo cha maafa pale ofisi ya waziri mkuu!
 
Hoja yako ni mzuri sana, lakini kutanguliza kwamab tumsaidie mama kilango, for me it sound too political!!! never put serious social problems in political way!!! Sasa hapo hata kama Rostam alitaka kusaidia unafikiri atasaidia na thread yako hii!!! I don't like all politicians kwa kutaka kugeuza matatizo ya wananchi kufanya mtaji wa kisiasa!!!nimemuona mama kilango jana kwenye TV wakati analia!! ametia huruma sana, hata nami nikawa nakaribia kumuunga mkono kwa chozi lake!! hata hivyo, sina hakika endapo chozi lile ni la kuwahurumia wapiga kule wake, au ni chozi la mwanamke ambalo aghalabu halina spid gavana, au ni political tears!!!
Well said Mkuu!! Yaani bora angeandika "Tuwasaidie wahanga wa maafa ya Same"
 
Juzi juzi tumewachangia hao hao watu wa SAME kwa njaa kupitia Kanisa Katoliki majimbo yote hapa Dar kwani Askofu wao aliomba rasmi kwa Kard. Pengo likatoka azimio hilo tukachangia makanisa yote. Sasa sijui hili la kwako unalileta kwa njia ipi?? fafanua hiyo michango ipitie kwa nani na kwa njia halali sisi tutachangia ni wazo zuri.
 
hili si jambo la kusubiri fulani afanye....ila najiuliza mbona majanga mengine makubwa na mabaya yametokea kama mabomu ya mbagala lakini sijasikia mwana jf hata mmoja kuomba kusaidiwa? watu mpaka sasa hawana makazi,watu walipoteza maisha ,fidia zenyewe ndio hizo pamoja na kuwa hilo ni kosa na uzembe wa serikali?
uzalendo uko same tu kwa kuwa a.m.kilango ni mbunge au uzalendo wa kweli.....mbona arusha watu wanakufa kwa njaa hatujachukuwa hatua za kuwaokoa? tunasubiri wafe kwanza afu ndio tutangaze janga la kitaifa......
 
hapa nilitarajia mafisadi wote ...akina lowasa,rostamu,jeetu patel,somaiya,chenge,hosea...wanajitosa kusaidia wahanga hawa lakini wapi waendelea tu kujenga mijumba majuu....nina
 
Hili ni janga la Kitaifa na wala si janga la kisiasa.
Wazo lako ni zuri sana lakini michango hii ipitie Serikalini au kwenye NGO ambayo itawafikia wananchi pasi na shaka.

TUWASAIDIE WANA SAME NA SIO ANNA KILANGO
 
are you serious bwana majina mengi????

No wonder umepata thanks kwa porojo hii wako wengi nyuma yako wanaojifanya kuwajua watu.

ACHA UZUSHI WEWE, mama Kilango anakujaje hapa? hii ni issue ya kitaifa wanatakiwa kusaidiwa waanga na hilo sio jukumu la KILAGO mpaka tumsaide yeye.

JAMANI HATA KWENYE MISIBA MNAPENYEZA KAMPEINI????????

Kesho mtaanza hata kuwa wadhamini wa misiba, utasikia tangazo MSIBA HUU UMEDHAMINIWA na Rosmeman.
 
Thank you!

Tatizo la kitaifa hili, tusaidie wote walikumbwa na mafuriko period! Whats special na Anna huko Upareni?
 
are you serious bwana majina mengi????
My name is Junius...!!! Junius...!!! Junius...!!! Junius...!!!
I challenge you to reveal my other names including the real ones...excluding sir Phillip Francis
Haaaa !! What are his other names?
Anaweweseka tu...si unajuwa mafisadi style...wanataka wachunguzwe na majaji eti...aaah!!!
Ningelikuwa CCM ningekukubalia...lakini Mungu kaniepusha na laana ya Chama Cha Mapinduzi a.k.a Mafisadi...wakiwemo hao wanaotajanatajana na wanaofadhiliwa na mafisadi halafu hawaishi kelelekele.
 
Back
Top Bottom