Wazo: Makao makuu ya CHADEMA yawe Arusha

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,598
8,738
Chama cha Chadema nakishauri kiamishe makao makuu ya chama kwenda Arusha. Hii itaimarisha cahama na kuweka misingi imara ya chama. Vilevile ningewashauri kuweka Branch kubwa Mwanza, Mbeya, Mara, Kigoma, Dar, Shinyanga, Manyara na Iringa.
 
CDM imeenea Tanzania nzima, mkoani ,wilayani hadi kata, CDM inajiandaa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 kwa kila kijiji na kitakuwa tayari kuchukua nchi 2015.
 
good idea,lakini dar yawepo makao makuu madogo kwa sababu ni capital
 
CDM imeenea Tanzania nzima, mkoani ,wilayani hadi kata, CDM inajiandaa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 kwa kila kijiji na kitakuwa tayari kuchukua nchi 2015.

Uchaguzi wa mwaka jana majimbo 239 chadema ilisimamisha wagombea majimbo 80! Bado haijaenea kama unavyojidanganya
 
Kuenea aimaanishi kuwa lazima iwe na wagombea majimbo yote....acha analysis uharo za darasa la saba,CDM inafaamika kwa kila mtanzania sasa hivi,mtoto mdogo anafahamu kazi ya CDM....Zoa uharo wako hapo juu...maana umeaharisha badala ya kutoa golden comments unaleta magamba yako......
 
Mkuu, kweli umenena Dar hamna kitu si tumeona jana watu kumi wanataka kuandamana kwenda kumtoa Mbowe, ilikuwa vichekesho pale Magomeni mapipa kwenye mataa watu wanaendelea na kazi zao kama kawaida huku wakiwashangaa, 110 ya polisi ilivyofika ilapiga kabomu kamoja ka machozi walisambaa wakaacha yebo yebo zao barabarani zinakanyagwa na dalaladala, bora hamishieni ofisi zenu Kilimanjaro na Arusha
 
Inaumaaaaaaaa pata na wewe wabunge wengi ujidai kama CCM , kwani wanafanya watakalo hivi sasa bungeni
 
Kuenea aimaanishi kuwa lazima iwe na wagombea majimbo yote....acha analysis uharo za darasa la saba,CDM inafaamika kwa kila mtanzania sasa hivi,mtoto mdogo anafahamu kazi ya CDM....Zoa uharo wako hapo juu...maana umeaharisha badala ya kutoa golden comments unaleta magamba yako......

Mweleweshe huyo bandugu amekosa tu kujidiisha na kutulia.
 
Vijiji gani hebu vitaje hivyo ?

A photo can speak thousands of words.

CHADEMA YATUWA RASMI VIJIJINI, TUSOME ALAMA ZA NYAKATI..jpg
 
uchaguzi wa mwaka jana majimbo 239 chadema ilisimamisha wagombea majimbo 80! Bado haijaenea kama unavyojidanganya
kwani nyie mlikosimamisha wagombea sehemu zote mmepata..??? Au kuweka wagombea kila sehemu ndiyo maana ya kuenea kila mahali..??
 
Wakapata Wabunge 23
NI JAMBO LA AJABU WABUNGE 23 (IF YOU PUT IT THIS WAY) WAWAHANGAISHE WABUNGE ZAIDI YA 200.....!!! So kila siku kila kitu kule bungeni mtashinda kwa IDADI na si hoja............. NA NDIYO MAANA ILE YA WAZIRI MKUU KUSEMA UWONGO BUNGENI MPO KIMYAAAAAAAAAAAAA.......... ZEA WOZI NO HOJA Maana ile ilikuwa haina kupiga kura ............. NI FACTS TUU.....
 
Mkuu, kweli umenena Dar hamna kitu si tumeona jana watu kumi wanataka kuandamana kwenda kumtoa Mbowe, ilikuwa vichekesho pale Magomeni mapipa kwenye mataa watu wanaendelea na kazi zao kama kawaida huku wakiwashangaa, 110 ya polisi ilivyofika ilapiga kabomu kamoja ka machozi walisambaa wakaacha yebo yebo zao barabarani zinakanyagwa na dalaladala, bora hamishieni ofisi zenu Kilimanjaro na Arusha

Pole sana mtoto kwa akili za kushikiwa kiasi cha kushindwa hata kuelewa vitu maswala madogo tu. Get it in to your head;concept ya maandamano si idadi ya waandamanaji barabarani!
 
Pole sana mtoto kwa akili za kushikiwa kiasi cha kushindwa hata kuelewa vitu maswala madogo tu. Get it in to your head;concept ya maandamano si idadi ya waandamanaji barabarani![/QU
Ndio nguvu ya UMMA
 
Ishu sio makao makuu bali kuwa na wafuasi na wanachama wengi,nadhani kwa mfumo wa nchi yetu makao makuu ni dar,tuhamasishe wnanchi waelewe haki zao nchi nzima,chama kinatakiwa kitanuke sasa Arusha kuna wafuasi wengi twende kungine ili 2015 CDM ichukue nchi.
 
Ndg usikate tamaa hivyo,hapa tulipo ni viongozi wabovu wametufikisha,ni jukumu letu kuikomboa nchi yetu kama tunaipenda,ukikata tamaa ina maana unakubali unyonyaji,unyanyasaji,rushwa,uhujumu uchumi na mengi kama hayo,tumia nafasi yako kuelimisha watanzania haya ni mapito tu.
 
Back
Top Bottom