Wazo langu: Hivi haiwezekani CHADEMA ikafanya mkutano wa hadhara kwa amani?

Acha unafiki cdm wana silaha gani? Huoni kwamba polisi wanatumiwa na ccm na serikali yake ili kuwadhoofisha? wewe ni gamba ndio maana unatoa maono ya kigamba gamba. Pilisi wameua na wanaendelea kuaa, fuatilia kila sehemu. Au baba yako ni mjumbe wa nyumba kumi za kiccm, ccm nini?
 
mimi sijashaabikia kifo nimeumia ndio maana nimesema hawawezi kufanya maandamano biila ya amani?
ningekuwa nashabkikia nisingetaka amni!
 
Mndengereko,

..mimi nadhani Polisi ndiyo wanaokwenda kuvuruga mikutano ya CDM.

..pia kuna amri nyingi zinatolewa na serikali, pamoja na msajili wa vyama, kwa minajili ya kupunguza spidi na kuwahujumu CDM.

..mfano mzuri ni amri ya kusitisha mikutano ya CDM ili kupisha sensa. mbona hawajazuia shughuli za michezo, mikusanyiko na mihadhara ya kidini, ambayo pia hukusanya watu zaidi hata ya mikutano ya CDM??
 
tatizo sio chadema kuwaelimisha watu tatizohivi unavyoona wewe kuna ulazima wa watu kufa eti kisa mikutano atleast bora wafe kwa kupinga matokeo coz hata mimi najua kama wanachakachua lakini sio kisa mkutano try to understand my point plz kabla hamjanijibu
 
Ndugu zangu wan JF embu leo naomba tuongelee hii kitu kutoka moyoni. Mimi sio mnazi wala mwanachama wa chama chochote ila kila ninaposikia CHADEMA wanataka au wanafanya mkutano mkubwa wa hadhara basi watazuiliwa na polisi then wao watakaidi amri hiyo mwishowe watafukuzana kwa marungu na mabomu ya machozi mpk watu wasio na hatia kufa na wengine kujeruhiwa.

Maoni nionavyo mimi ni kama vile CHADEMA wanfanya makusudi ili watu walichukiie jeshi la polisi baada ya kujeruhiwa.Hivi CHADEMA wakiahirisha mkutano wao mpaka siku watakokubaliana na jeshi la polisi kosa linakuwepo wapi?

Hivi hatuoni kwamba uhai wa binadamu una thamani kuliko hizi siasa za bongo tafadhali jamanii tujirekebishe hata kama polisi wamekosea lakini kama CHADEMA wangefuata maagizo yao asingekufa mtu Iringa,Morogoro wala Arusha.

Nawasilisha wadau

Weredi unasumbua hapa.lol!
 
Nilivyokuwa RSS kulikuwa na terminology moja inaitwa KUFILIKI, ungekuwa karibu mtoa mada ninge KUFILIKI!! hakyanani wallah!
 
polisi wanafanya kazi za siasa, hata ukiangalia wanaopinga mikutano ya chadema ni walewale wenye chuki na chama ambao si wana c.c.m na wana c.c.m ambao wanafaidika na mfumo huu wa c.c.m kwani chadema wanataka kuchukua kitumbua chao
 
Binadamu tumeubwa kwa mfano wa Mungu inasikitisha mmekua kama wanyama kwa kurubuniwa na mambo ya dunia, hamna tena huruma na upendo.
Unajua muda na gharama za kuandaa mikutano? Pili unajua kwanza waishaandaa ratiba za mikutano na kinachofanyika ni kufanyiwa hujuma ili washindwe kutimiza malengo yao?
Unajua wameahirisha mara ngapi na kwa muda gani? USHAURI WANGU ULIZA KABLA UJATOA HOJA
Sasa mpunguze kulialia mkipigwa, maana kwenye kupigana kuna kupiga na kupigwa.
 
watu mnaonimkoment kwamba mimi ni mwangamba mpo wrong kwa waliosoma critical thiniking tunasema mmecommit fallcy ya red herring cha msing ni kujibu hhoja kwamba ktk maandamano ya chadema ni lazima mtu afe au fujo itokee,mimi kuniita mwanagamba,ccm kwenda kinyume na marufuku yapolisi haiihalilishii chadema haki ya kuufanya maandamano kwa ubabe
nasikitika sana kwamba wengi wenu hamjanielewa watu tuankimbilia upenzi kisa chadema basi ooh mwanagamba ooh ccm wamekutuma ya nini yote hayo sos sory hamjanielewa
ngoja ninukuu post ya mrisho mpoto fb kwa kumalizia ""UKIMWACHIA SANA MBWA ACHEZEE MFUPA MWISHO WAKE ATAULA" Tunapotaka kuipeleka hii nchi, mwisho wake ni majuto. Hili ni angalizo tu naweka. mtu akisikia sana sauti anazoea, alafu atakuita wewe kwa jina lako, jiandae kuitika!!!
naomba munu awajaalie mnielewe na wala sio kukimbilia ugamba lazima tujue kucheza na akil ya chadema
 
..hakuna mantiki ktk kuzuia mikutano ya CDM. tatizo lipo hapo.

..wanaotaka kutupeleka siko ni serikali ya CCM, ambao wanatumia jeshi la polisi kisiasa.

..CCM wamekosa hoja za kuwajibu CDM, badala yake wanatumia jeshi la polisi kuvuruga mikutano ya CDM.

..Ni kweli "ukimwachia mbwa achezee mfupa mwisho wake ataula." tumewaachia CCM walitumie kisiasa jeshi la polisi, tangu enzi zile RPC Mahita akimpiga mabomu Mrema. Sasa jeshi hilo limetugeukia wananchi wa kawaida na mifano ni mauaji ya Arusha,Morogoro,na sasa Iringa.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wan JF embu leo naomba tuongelee hii kitu kutoka moyoni. Mimi sio mnazi wala mwanachama wa chama chochote ila kila ninaposikia CHADEMA wanataka au wanafanya mkutano mkubwa wa hadhara basi watazuiliwa na polisi then wao watakaidi amri hiyo mwishowe watafukuzana kwa marungu na mabomu ya machozi mpk watu wasio na hatia kufa na wengine kujeruhiwa.

Maoni nionavyo mimi ni kama vile CHADEMA wanfanya makusudi ili watu walichukiie jeshi la polisi baada ya kujeruhiwa.Hivi CHADEMA wakiahirisha mkutano wao mpaka siku watakokubaliana na jeshi la polisi kosa linakuwepo wapi?

Hivi hatuoni kwamba uhai wa binadamu una thamani kuliko hizi siasa za bongo tafadhali jamanii tujirekebishe hata kama polisi wamekosea lakini kama CHADEMA wangefuata maagizo yao asingekufa mtu Iringa,Morogoro wala Arusha.

Nawasilisha wadau

Yote umesema ila umedanganya kuwa siyo mnazi wa chama chochote.
Najua inawezekana na mifano ipo mingi kila polisi walipowaruhusu bila kuingilia kati na polisi mikutano yote na maandamano yote yamekuwa ya amani. Mfano Mzuri baada ya polisi kuuwa Arusha, CHADEMA walifanya maandamano makubwa na mkutanao mkubwa wa kuwaombea marehemu (BILA POLISI)watu walikuwa wengi na amani ilikuwepo muda wote mpaka shughuli ikaisha.
sasa uliza swali lako vizuri - ushauri wangu waulize polisi swali hili
 
kwa arusha ninajua kwamba kabisa polisi walichemka lakini vipi seemu nyingine ambapo chadema waliambiwa kuna sensa na wenyewe wakanagania kufanya mkutano

Sensa ilitangazwa inaisha j'mosi CDM wakajipanga kuanza kufanya shughuli zao kuanzia j'pili taratibu zimeishaandaliwa ,viongozi wamejipaga ,tangazo linatoka muda umeongezwa wiki moja ambae bado hajahesabiwa aende kwa viongozi wa ngazi ya kijiji ili ahesabiwe.Hapo bado unasema kuna sensa? Wapo jamaa zagu ambao kaya zao zimehesabiwa hakuwepo nyumbani kwa mantiki hiyo vikao vingeathiri nini suala la sensa .Ok, sawa CDM wanafungua tawi Mwandishi wa habari amekosa nini? kwanini wasihukumiwe viongozi wa CDM?. Sawa angalia idadi ya askari waliokuwepo ,silaha walizokuwa nazo ,mafunzo waliyo nayo walishindwa kumkamata huyo mwandishi mpaka wamfumue UTUMBO. Inauma na tena inauma sana .Wapo watawala wengi duniani waliokuwa wanafurahia sana mauaji ya namna hii lakini mwisho wao nadhani unaufahamu. Muda utafika na utatoa hukumu
 
Ndugu zangu wan JF embu leo naomba tuongelee hii kitu kutoka moyoni. Mimi sio mnazi wala mwanachama wa chama chochote ila kila ninaposikia CHADEMA wanataka au wanafanya mkutano mkubwa wa hadhara basi watazuiliwa na polisi then wao watakaidi amri hiyo mwishowe watafukuzana kwa marungu na mabomu ya machozi mpk watu wasio na hatia kufa na wengine kujeruhiwa.

Maoni nionavyo mimi ni kama vile CHADEMA wanafanya makusudi ili watu walichukiie jeshi la polisi baada ya kujeruhiwa.Hivi CHADEMA wakiahirisha mkutano wao mpaka siku watakokubaliana na jeshi la polisi kosa linakuwepo wapi?

Hivi hatuoni kwamba uhai wa binadamu una thamani kuliko hizi siasa za bongo tafadhali jamanii tujirekebishe hata kama polisi wamekosea lakini kama CHADEMA wangefuata maagizo yao asingekufa mtu Iringa,Morogoro wala Arusha.

Nawasilisha wadau

Wazo lako ni zuri ila limekosa mashiko. Kwani wakati wa maandamano ya Arusha kulikuwa na zoezi la sensa? Halafu kazi ya polisi sio kuruhusu au kukubali maandamano au mkusanyiko. Kazi yao ni kulinda maandamano au mkusanyiko ili ufanyike kwa amani, soma katiba vizuri utaelewa. Au kwa msaada soma Sehemu ya tatu, Haki ya Uhuru wa Mawazo,Katiba ndio sheria mama. Kilichofanywa na uongozi wetu dhalimu ni kutunga sheria nyingine za kunyang'anya nguvu sheria mama yaani "mutilation of the constitution". Maana yake sheria inatolewa na mkono wa kulia halafu inanyang'anywa kwa mkono wa kushoto. Ndicho kinachofanyika hapa. Kama wasingelichezea katiba,polisi wasingekuwa na nguvu wala ubabe wa kuharamisha maandamano/mkusanyiko wa watu au chama chochote. Wangekuwa na uwezo wa kudhibiti tu maandamano au mkusanyiko pale ambako mkusanyiko umevunja amani. Hii sheria inayotumiwa na polisi kudhibidhi maandamno au mkusanyiko ni haramu kwa kuwa lengo,madhumuni na nia yake ni kudhoofisha nguvu za sheria mama iliyopo ndani ya katiba. Yaani haramu anapingana na halali. Au ni sawasawa na mtoto aseme kwamba atamzaa baba yake. Inawezekana?

Kilichotokea na kinachoendelea kutokea ni kuwa watanzania wengi tayari wameona mwanga na kuelewa kuwa haramu nashindana na halali na mtoto anaendeleza mambo yake ya kutaka kumzaa baba yake na ndio maana kunakuwa na mvutano baina ya polisi na watu au makundi ya watu wanaotaka kuandamana.

Ndugu yangu nakusihi ujishughulishe kujiuliza maswali kidogo na kutafakari- yaani fanya mchakamchaka wa bongo yako na kwa kufanya hivyo, namna ambavyo ungeandika mada yako ingekuwa tofauti sana
 
Ndugu zangu wan JF embu leo naomba tuongelee hii kitu kutoka moyoni. Mimi sio mnazi wala mwanachama wa chama chochote ila kila ninaposikia CHADEMA wanataka au wanafanya mkutano mkubwa wa hadhara basi watazuiliwa na polisi then wao watakaidi amri hiyo mwishowe watafukuzana kwa marungu na mabomu ya machozi mpk watu wasio na hatia kufa na wengine kujeruhiwa.

Maoni nionavyo mimi ni kama vile CHADEMA wanfanya makusudi ili watu walichukiie jeshi la polisi baada ya kujeruhiwa.Hivi CHADEMA wakiahirisha mkutano wao mpaka siku watakokubaliana na jeshi la polisi kosa linakuwepo wapi?

Hivi hatuoni kwamba uhai wa binadamu una thamani kuliko hizi siasa za bongo tafadhali jamanii tujirekebishe hata kama polisi wamekosea lakini kama CHADEMA wangefuata maagizo yao asingekufa mtu Iringa,Morogoro wala Arusha.

Nawasilisha wadau

Kwa nini ulipopelekwa shule uliamua kuishia la tano? Yote haya ungeyajua!
 
Umeona? Najiuliza kama huyu ni graduate wa chuo basi tuna matatizo makubwa ktk mitaala yetu! Natarajia msomi ajikite ktk hoja nzito kwanini leo tumefikia hapa. Kupitia makosa ya msingi ya watawala wetu waliyo fanya huko nyuma ndiyo tumefikia hapa.
 
Hivi kwa nini viongozi wa CHADEMA wasitumie busara wakawa wapole hadi kipindi cha Sensa kipite. hiyo mikutano ni ya dharura kiasi gani hadi ishindwe kuvuta subira?
Yani viongozi wa hiki chama wanapandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao sikivu!
Kila kukicha maandamano,hivi hawawezi kufata maagizo ya police?huu ni upuuzi na nnashangaa why serikali iko kimya.
 
Wakuu,CHADEMA kwa mikutano yao mingi walioshafanya ya amani wanaweza kuendelea kuyfanya. Tatizo ni upendeleo unaofanywa na jeshi la Polisi kwaCCM na kuwadharau wao. CCMwanafanya wakati wowote na mahali popote bila usumbufu. hii ndiyo imesababisha washabiki wao kuhisi uonevu huo na kuamua kudharau polisi na kutotii amri zao wakiona kila wakati wanaonewa.PENYE HAKI KILA WAKATI AMANI HUWEPO. PASIPO NA HAKI HUWA NA FUJO. HATA MANENO YA VIONGOZI KUSEMA CDMITASAMBARATIKA KABLA YA 2015 HUSABABISHA VIJANA KUONA KILA POLISI WANALOZUIA NI MBINU MOJOWAPO.
 
Sasa mpunguze kulialia mkipigwa, maana kwenye kupigana kuna kupiga na kupigwa.
Subiri siku mama ako apigwe na polisi pale anapouza komoni ndo utakapojua kuwa hao polisisiemu hawafai, halafu umwambie maneno hayo aache kulia lia.
 
Ndugu zangu wan JF embu leo naomba tuongelee hii kitu kutoka moyoni. Mimi sio mnazi wala mwanachama wa chama chochote ila kila ninaposikia CHADEMA wanataka au wanafanya mkutano mkubwa wa hadhara basi watazuiliwa na polisi then wao watakaidi amri hiyo mwishowe watafukuzana kwa marungu na mabomu ya machozi mpk watu wasio na hatia kufa na wengine kujeruhiwa.

Maoni nionavyo mimi ni kama vile CHADEMA wanfanya makusudi ili watu walichukiie jeshi la polisi baada ya kujeruhiwa.Hivi CHADEMA wakiahirisha mkutano wao mpaka siku watakokubaliana na jeshi la polisi kosa linakuwepo wapi?

Hivi hatuoni kwamba uhai wa binadamu una thamani kuliko hizi siasa za bongo tafadhali jamanii tujirekebishe hata kama polisi wamekosea lakini kama CHADEMA wangefuata maagizo yao asingekufa mtu Iringa,Morogoro wala Arusha.

Nawasilisha wadau
Kwani maandamano yalifanywa Arusha baada ya mauaji yalileta vurugu ipi? Mbona mikutano ni ya amani? Shida ni pale Polisi wanapoingilia utulivu kwa risasi na mabomu.CDM itapewa lini mwanya wa kupanga mambo yake bila kuingiliwa na dola?
 
Back
Top Bottom