Wazo la Punguani:- Dawa imepatikana kuwanusuru wabunge wa CCM na TLP

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,270
CCM ndio chama kinacho ongoza nchi. Chama hiki kinaongoza nchi masikini na watu wake wengi ni masikini wa kutupwa, wa kipato na hata fikra.
Wabunge wake ndio wanao ongoza kwa kulala bungeni.
Tyson, Komba a.k.a Mpoki na mbunge wa TLP a.k.a CCM B Mh. Mrema a.k.a Vengu wameugeuza ukumbi wa bunge mahala pa kulala.
Wabunge wa namna hii ni noma, kama ulivyo ulevi kwa dereva au ngono kwa mtoto wa shule tena yule wa praimari.
Dawa yao ni moja, ni kuwaingiza askari wa zimamoto kwenye ukumbi wa bunge, wakikuspot unasinzia, wanakumiminia maji mpaka ukome.
Hapo kutakuwa hamna kulala kama alivyo sema Juma Nature na kutakuwa hakuna Majotro kama Fiesta 2011
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom