Wazo la mwalimu baba wa taifa la leo...

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
"Wazee wangu, wananchi wenzangu ahsanteni sana. Niko hapa katika IKULU ya Tanganyika kutokana na umoja na mshikamano wenu, angalia mmenipa dhamana kubwa ya kuliongoza taifa letu.
Madaraka haya ya KASRI hili linatosha kumlewesha mwanadamu kama mimi na hatimaye kuanza kufanya mambo tofauti na maadili yetu. Ikitokea hivyo msiniache, niambieni tu, kwamba "Mwalimu" uko nje ya mstari.

JK NYERERE 1962
 
Back
Top Bottom