Wazo la mtu lina weza kupewa haki miliki?

Usiwe na shaka
Idea inaweza kupewa haki miliki. Wapigie COSOTA au tembelea COSOTA utapata anuani zao na kama upo Tanzania watembelee watakuelewesha kwa kina na namna ya kusajili ideas zako mkuu. Wahi kabla jioni haijakufikia maana kuna watu wapo sharp kuiba mawazo ktk jamii utadhani wamezaliwa china vile.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom