wazo la leo...........

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Great thinkers,have you ever wondered why Mwl Julius Kambarage Nyerere aliwa outsurvive most of his contemporaries kama kina Kwame Nkrumah,BenBella,Micombero,Kayibanda,Tombalbaye,Sekoutoure,Samora Machel,Nnandi Azikiwe,Milton Obote,Patrice Lumumba, na wengine waliotafuta naye uhuru wa bara hili?
some say because he was the greatest Machiavellian Africa has ever produced!
Sababu nyingine?
 
kama ni crises naye zilimkumba kibao na aka get through,hii ni pamoja na mutiny ya 1964,internal dissent za akina Kambona(RIP) na Maalim Seif,coup attempts mbili(1971 na 1981),ukame na njaa(1974),ugomvi na IMF na world Bank(early 80's mzee Mtei akiwa treasury),vita ya Idd Amin na mitihani mingine ya kiuongozi kama hiyo.
 
He was blessed with a visionary ability which he well used as a tool and weapon to face difficult issues in his time.
FF angelikuwepo angetuambia zaidi. Maana Aliwahi sema jamaa alikuwa mtaalamu wa kung'ata.
 
mmmmhhhhh kung'ata ndo nini?
 
Bishanga, Nyerere was no nonsense person. Sasa kwa watu wavivu na wazembe wasiotaka kujituma alionekana kama anawazibia vile. Na kusema ukweli, with all his short comings, his visionary ability made him a star. He could foresee the obvious and stood to what he believed no matter what. Ile ilimpa upper hand zaidi ya wenzake wengi walioshindwa kugundua vitu gani vya kufanya na vipi vya kutofanya ili wakae kwa amani hata bila ya kuwa maraisi
 
nakubaliana na wewe kabisa. Akiamua kufanya charm offensive alikuwa anaifanya effectively,akiamua kuwa mbogo anakuwa mbogo kweli kweli,hakujali kum lock up mtu na funguo kuzitupia porini,that wa Kambarage bana.
 
nakubaliana
na wewe kabisa. Akiamua kufanya charm offensive alikuwa anaifanya
effectively,akiamua kuwa mbogo anakuwa mbogo kweli kweli,hakujali kum
lock up mtu na funguo kuzitupia porini,that wa Kambarage bana.

he was as great thinker, gifted and able to separate wheat from chaff.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom