Wazo la leo: kuna umuhimu gani wa kujifunika mwavuli ndani ya bwawa la kuogelea?

"Don't count your chickens before they're hatched." Huu ujumbe unawafaa sana ndugu zangu wa CHADEMA wanahesabu kura kwa kuangalia wingi wa watu mikutanoni wakati kuna mambo mengi yanatakiwa kuzingatiwa katika swala zima la kura..............nyie pigeni domo sie ikifika siku tunachukua tunaweka waaaaaaaaaaaa

Je, na wale nduguzo wa vijijini wataneemeka kama wewe kupitia ushindi wa CCM? Kama ndiyo hongereni sana.
 
Back
Top Bottom