WAZO LA JUMAPILI: Consultant wa kutafutia mchumba!

Nakubaliana nawe kabisa, Mwanaume yeyote anayenyolewa nyusi na kufanyiwa waxing basi ni lazima ana kasoro fulani katika uanaume wake. Unyolewe nyusi na kufanyiwa waxing ili iweje? uwe na macho ya kurembuka na mwili laini kama mwanamke? si ajabu mwanaume kama huyu anaweza kula hata kungu manga ili macho yake yarembuke zaidi.
Mkuu, I tell you me, kuna wanawake wanaotaka waneume wa design hii!! wanaoonekana warembeo!! nyusi, ngozi, sura, manukato n.k. yaani wanataka wanaume walio kartibia na tabia za kike, kivingine ni kwmba, wanataka wanawake wenzao ila kwa sababu za kimila na kitamaduni, hawawezi kuwapata au kuwa nao waziwazi!!
 
Ooh yeah...fanya utafiti kuhusu vaginoplasty au vaginal rejuvenation na penile enlargement....

Huko majuu siku hizi ukitaka kutoka na demu organic (kama wewe ni mwanaume) basi huna budi kuchagua ambaye siyo mzuri sana. Ukitoka na wale wanaowaita drop dead gorgeous basi kuna uwezekano mkubwa sana wa huyo dada kuwa feki.
Bogo tunait za kichina!!!
 
Lakini mnasahau sasa tuna option ya kuoa yeyote yule wa dunia hiii..
Unaweza oa mwarabu,mhindi, na kadhalika....
Why go for fake ones,wakati waarabu au wazungu original wapo???????
 
Mkuu, I tell you me, kuna wanawake wanaotaka waneume wa design hii!! wanaoonekana warembeo!! nyusi, ngozi, sura, manukato n.k. yaani wanataka wanaume walio kartibia na tabia za kike, kivingine ni kwmba, wanataka wanawake wenzao ila kwa sababu za kimila na kitamaduni, hawawezi kuwapata au kuwa nao waziwazi!!


Si wajitangaze tu kama ni lesbians badala ta kutaka kuudanganya Ulimwengu?
 
Lakini mnasahau sasa tuna option ya kuoa yeyote yule wa dunia hiii..
Unaweza oa mwarabu,mhindi, na kadhalika....
Why go for fake ones,wakati waarabu au wazungu original wapo???????

Ni afadhali kuoa mwenye uzuri wa kiasi lakini ni uzuri wa kweli kuliko kuoa yule anayeonekana ni mzuri sana lakini kila kitu chake ni fake. Akishaondoa huo urembo wake unaweza kabisa kumkimbia.
 
Kwenu mnaotafuta mke wa kuoa!

Miaka ya nyuma, kijana hakuwa na kazi kubwa saaana kutafuta mchumba tena kwa vigezo avitakavyo mwenyewe.

Kigezo cha uchapa kazi, usomi, hata mwonekano/wajihi ilikuwa rahisi sana kupata. Kama ni uchapa kazi basi jamii au hata familia ya karibu iliweza kuvalidate. Kuhusu ulimbwende ndio kabisaaa ilikuwa rahisi kuona. Mdada alikuwa na nywele za asili akisuka au kunyodwa kwa staili mbalimbali za kiasili na kupaka mafuta ya asili haswa ya nazi.

Ngozi ilikuwa asili kabisa.Kama ni mweusi basi alikuwa mweusi. Mweupe alikuwa mweupe kweli.

Siku hizi, tabia ni kitendawili kujua... sijui atakuambia nani.. labda kama ni jirani yako au mnasoma wote.... na mnakaa mji mmoja! Kama ni urembo, basi wa dukani ndio asilimia zaidi ya 70 mradi uchache uwepo tu.Ndio maana wanasema siku hizi kila mwanamke ni mrembo. Kuanzia nywele, mboni za macho, kope, kucha,matiti, makalio hadi kule nyetini ni artificial! Akina kaka mna kazi kubwa.

Inabidi muweke ma consultants wa kuwasaidia kung'amua vigezo vipi ni vya kweli au asili na vipi vya kuungaunga!

Lakini hata akina kaka nao hawajambo siku hizi. Mkorogo wanawazidi kina dada, wananyoa nyusi, wanafanyiwa waxing, wanajikwatua kuliko akina dada wakati mwingine. Mwanamke usipoangalia, mumeo atakuzidi kwa "urembo"....

Dunia twenda wapi?

Hii dunia ya sasa hakuna waowaji / waolewaji watu tunakwenda tu mzobe mzobe.
Mwanamme akisema achukue mwanamke wa kijijini, basi huyo mwanamke mpe miezi kadhaa maana akikaa mjini kidogo anakuwa mtoto wa mjini kuliko wale ambao wameishi hapo. Hakuna siku hizi mtoto wa kanisani au msikitini.

Ukiamua kuolewa / owa fanya tu hivyo lakini uwe tayari kwa lolote, as long as roho yako imeridhia.
The truth is wanawake wa mjini karibu wote wanaenda kwa babu (Sangoma) kutafuta nyongeza. Tena wale wanaume wasio fika chumvini ni rahisi maana unawekewa asali na manuizo " tamu saa zote, haizeeki, haichachuki, haiozi, kila mtu anaikimbilia n.k" basi wewe huwezi kwenda kwenye P--y yoyote hata ukiwa unajua unapangishwa foleni, hufukiti kokote. Na huyo mwanamke awe kijana utamuona kigoli, mzee utamuona kijana, upo hapo? Hata wanaokwenda chumvini, utakuta umetayarishiwa asali kwenye side table, wewe unafiki mapenzi kumbe hiyo nyongeza tu.

Nawaonea huruma sana wanaume wanaokimbilia nyumba ndogo ooh mke wangu nimemchoka, wanalishwa uchafu ulio kithiri mpaka anaweza kusahau nyumba yake. Hivi unafikiri hiyo p---y inakuwa na utamu kiasi gani wa kuisikilizia mpaka muda wote unaiwaza hiyo hiyo??
Duniani kuna mambo ni bora wanaume mkapata ushauri kutoka kwa dada zenu watawaeleza. Fikiria mtu akunuizie " mimi unione kama pumzi yako" utasalimika kweli?? Huwezi kupumua bila kumuaza yeye

Sisi wanawake tukiamua hatuna huruma, sema tu huko kwa babu inabidi u renew maana kuna wakati zinaexpire, usiombe ukakutana na mwanamke ambaye ameshajehiwa na mwanaume mwingine utakoma, atakuinamisha kama kondoo. Hizo cream na madikodiko yote unayanunua mwenyewe mwanaume kumpelekea kidosho.

Tatizo na nyinyi wanaume hamtulizi fikra zenu za ngono saa zoteeeeee, Ukimuona demu basi unawaza tu utakavyovinjari naye.
Tuwape nini mtosheke tuwe na amani kwenye nyumba na familia zetu???????????
Hallooooooooooooooooooooooooooow
 
Why go for fake ones,wakati waarabu au wazungu original wapo??????
.........FYI siku hizi hakuna cha mzungu, mwarabu wala black asilimia kubwa ya wanawake wanapendelea huo urembo fake.Unajua kwamba kuna wazungu wanavaa hayo mawig!!! Wazungu si ndio wameleta mambo ya plastic surgery........hivyo usije kudanganyika na hao wazungu kwamba wote ni original.
 
Lakni angalau ngozi yao ,rangi ni original....no mkorogo........

Wewe mshamba kweli wewe...hivi hujawahi kuona wazungu wanaopaka sun tan cream ili kufanya ngozi yao iwe darker? Kuna wengine wanakaa kwenye vumba vya joto ili waweze kubadilisha rangi ya ngozi yao....acha wewe vitu original vichache sana siku hizi....wengine ndio wanajianika kutwa nzima kwenye jua
 
Lakni angalau ngozi yao ,rangi ni original....no mkorogo........

.......Eti ngozi original hahahhahah!!! Kweli ni weupe lakini wengi wao wanakandika sana make up/foundation, ukimkuta bila make up utashangaa kama kweli ni yeye.
 
vya original bongo hiyo hiyo vipo vimejaa teleeeee tatizo ndio wanakuwa hawana zile standards ambazo mmeshajiwekea.

mtu atataka mwanamke original kwa kila kitu lakini awe maarufu mjini kwenye mitoko yote apatikane, ajue fashions za dunia nzima na awe keshatakiwa na wanaume kadhaa!

sasa hizi expectations na kubaki original huwa haziendi kirahisi ..............vunja vigezo vya umaarufu mjini utapata original au vunja original na upate maarufu.

hapo nafikiri ni zaidi kupima mwenyewe kigezo kipi kina thamani kubwa tu
 
offtopic lakini vyombo vya habari vya Brazili vimetuchora vibaya .......................vimesema timu ya brazili ilivyofika dar es salaam airport hata polisi walikuwa wanawapiga picha wachezaji ..................ati kweli?
 
MADA imeleta mambo!
Bi 50 Cent..umeniacha mdomo wazi... akina kaka mpo!?
Mwenye macho asome..mwenye masikio asikie!
 
si hamtaki "used"..basi inakuwa re-packaged!
Its all about kuwawekea wanawake standards which are way too high, mnataka warembo kupitiliza, mnataka asiye used wakati kila mumuonaye mnataka mumjaribu hata kama hamna nia naye, ilhali nyie vya kwenu ni vichache tena wakati mwingine hafifu sana au hakuna kabisa maana mdada akitaka kuweka standards hamkawii kusema kuwa ni changu......!
WE unataka used????????
 
Wanaume wengi wameshaerevuka na hivyo kuweza kupambanua uzuri wa kuzaliwa na uzuri wa kununua, na wala hawahitaji consultants kuweza kutofautisha. Ni wachache mno ambao wanaweza kuuingia mkenge wa uzuri wa kununua.
hahahahahah kalagabaho weeeeeeeeeee
 
vya original bongo hiyo hiyo vipo vimejaa teleeeee tatizo ndio wanakuwa hawana zile standards ambazo mmeshajiwekea.

mtu atataka mwanamke original kwa kila kitu lakini awe maarufu mjini kwenye mitoko yote apatikane, ajue fashions za dunia nzima na awe keshatakiwa na wanaume kadhaa!

sasa hizi expectations na kubaki original huwa haziendi kirahisi ..............vunja vigezo vya umaarufu mjini utapata original au vunja original na upate maarufu.

hapo nafikiri ni zaidi kupima mwenyewe kigezo kipi kina thamani kubwa tu

kuna watu huwa wanakili za kufikilia sana.umesema vyema mkuu
 
Back
Top Bottom