Wazo la Biashara

OGOPASANA

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
262
144
Habari wadau,
Nina wazo la biashara ambalo ningependa kuwajuza wengine walio interested kujalibu unique business projects ambazo hazicost mtaji mkubwa sana lakini zinalipa.:
Wazo: Kuonesha LIVE MATCHES hasa za nchi za nje kama Bundas, Serie A, Uingereza, Spain, Brazil na kwingineko ambako kuna match nzuri za soccer.
Hint: - tafuta eneo zuri na ukubwa kiasi kuanzia watu 100 hadi 500, boresha muonekano wa eneo husika nje na ndani kwa kuweka vifaa vya kisasa kama AC, Bigest wide screens, sound proof, viti vya kisasa kama vya kumbi za sinema nk.
- tafuta access ya kupata kampuni ama vyombo vinavyoweza kuonyesha live matches kama DSTV, Cables etc, nina imani kila siku kutakuwa na hot live matches zisizopungua mbili kulingana na ratiba zao.
- wapenzi wengi wa mpira hupenda kampani na comfortability, uhuru , usalama na availability ya usafiri kwenda makwao
- weka biashara zingine zinazoendana na hiyo kwa nje: mfano..vinywaji, vitu vya kutafuna, sigara, vifaa vya michezo, jezi, documentaries zilizotafsiriwa kiswahili zinazohusu wanasoka ama soccer kwenye DVDs, CDs na accessories zinazohusu mambo ya soccers

Nawasilisha.
 
Good idea mkuu.
 
Sio mtaji mkubwa sana kama una nia. Tatizo lako wewe ni kati ya wa TZ wengi wasiopenda kujaribu.
niambie mtaji mdogo ndio kiasi gani?

Maana hapo we are talking of big chunk of land to start with and mind you location matters
 
mkuu, hiyo ya mtaji ni changamoto nzuri sana, kubali kwamba hii itahitaji mtaji of a significant amount(mkubwa) kitakachochangia ni quality ya facilities hata hivyo unahitaji ku specify segment ya customers, wale wateja wa kajamba nani wataendelea kwenda sehemu za jero
 
  • Big screen ya SAMSUNG 70'' ni kama 5,000,000 na utahitaji kama 3 hivi plus ndogo 2 za kama 1,000,000(jumla 17,000,000) au ununue overhead projector
  • Premise kama ni ya kukodi tozo lake ni minimum 500,000 kwa mwezi(6,000,000 kwa mwaka)
  • Furnitures andaa kama 6,000,000 ingine
  • AC moja ni kama 1,000,000 na utahitaji kama 4 hivi hiyo ni 4,000,000
  • Matengenezo ya premises andaa kama 5,000,000
Tayari kama 32m hapo.......na si ya standard hii

pizza-hut.jpg
 
[h=6]- The only reason we don’t have what we want in life is the reasons we create why we can’t have them.
- Every day do something that will inch you closer to a better tomorrow.
- Too many people overvalue what they are not and undervalue what they are.
- One important key to success is self-confidence. An important key to self-confidence is preparation.
- There are three kinds of people in the world, the wills, the won'ts and the can'ts. The first accomplish everything; the second oppose everything; the third fail in everything.
[/h]...Big up kwa waelewa, tupo pamoja...mwenye macho haambiwi tazama.
 
  • Big screen ya SAMSUNG 70'' ni kama 5,000,000 na utahitaji kama 3 hivi plus ndogo 2 za kama 1,000,000(jumla 17,000,000) au ununue overhead projector
  • Premise kama ni ya kukodi tozo lake ni minimum 500,000 kwa mwezi(6,000,000 kwa mwaka)
  • Furnitures andaa kama 6,000,000 ingine
  • AC moja ni kama 1,000,000 na utahitaji kama 4 hivi hiyo ni 4,000,000
  • Matengenezo ya premises andaa kama 5,000,000
Tayari kama 32m hapo.......na si ya standard hii

pizza-hut.jpg

Mbona una over estimate hivyo??.
Anza kadri ya uwezo wako.
 
Kuna kampuni moja ya lottery sikumbuki jina inafanya franchise ya hii biashara! watu wanatizama mpira na kufanya Sport Betting Sijajua mahitaji yake na mtaji wake lakini ni kitu saf sana
 
Kuna kampuni moja ya lottery sikumbuki jina inafanya franchise ya hii biashara! watu wanatizama mpira na kufanya Sport Betting Sijajua mahitaji yake na mtaji wake lakini ni kitu saf sana[/QUOTE

Biashara ninayo fanya mimi inalipa sana na mtaji ni BUREEE kabsa na mafanikio unayaona bila chenga. Biashara hiyo si nyingine ila ni NETWORK MARKETING. Private me for more details. Ona sasa mtaji wa mamilioni yote hayo....utapata wapi ??? tafakari
 
Nipe maujanja mkuu...:poa:poa:poa:poa:poa:poa
 
Habari wadau,
Nina wazo la biashara ambalo ningependa kuwajuza wengine walio interested kujalibu unique business projects ambazo hazicost mtaji mkubwa sana lakini zinalipa.:
Wazo: Kuonesha LIVE MATCHES hasa za nchi za nje kama Bundas, Serie A, Uingereza, Spain, Brazil na kwingineko ambako kuna match nzuri za soccer.
Hint: - tafuta eneo zuri na ukubwa kiasi kuanzia watu 100 hadi 500, boresha muonekano wa eneo husika nje na ndani kwa kuweka vifaa vya kisasa kama AC, Bigest wide screens, sound proof, viti vya kisasa kama vya kumbi za sinema nk.
- tafuta access ya kupata kampuni ama vyombo vinavyoweza kuonyesha live matches kama DSTV, Cables etc, nina imani kila siku kutakuwa na hot live matches zisizopungua mbili kulingana na ratiba zao.
- wapenzi wengi wa mpira hupenda kampani na comfortability, uhuru , usalama na availability ya usafiri kwenda makwao
- weka biashara zingine zinazoendana na hiyo kwa nje: mfano..vinywaji, vitu vya kutafuna, sigara, vifaa vya michezo, jezi, documentaries zilizotafsiriwa kiswahili zinazohusu wanasoka ama soccer kwenye DVDs, CDs na accessories zinazohusu mambo ya soccers

mkuu mi niliwahi kufanya hii biashara msimu wa ligi wa 2008/2009/2010. kwanza lazima ujue FACT zifuatazo kuhusu biashara hii:
  1. Ligi pekee inayotazamwa nawengi ni ENGLISH PREMIER LEAGUE
  2. Utapata watu katika mechi zinazohusisha MAN/UTD/CITY, ARSENAL, CHELSEA, LIVERPOOL; Kwenye spanish ni mechi zinazohusisha BARCA NA MADRID PEKEE; Seria A Ni BIG GAMES ONLY i.e MILAN vs INTER/JUVE ONLY.
  3. Lazima uwe na uwezo wa kuonyesha mechi tofauti zaidi ya moja kwenye skrini tofauti hata zikichezwa mda mmoja
  4. SERVICE PROVIDER MZURI NI DSTV - lakini wanachaji kwa dola....shilingi inazidi kuzama ili ulipe bill yao na upate faida lazima uchaji 1000 tshs kwa mechi; Location itakuathiri sana as wapenzi wengi wa soka la ulaya wanaongalia kwenye vibanda vya kulipia wapo uswahilini, je wataweza kukulipa 1000 kwa gem moja( hii ilikuwa chalenji kubwa sana kwangu). ukiweka maeneo ambayo wakazi wake wanajiweza kimaisha utapata wateja wachache as wengi wana DSTV/ABUDHABI SPORTS majumbani mwao au kwa marafiki zao.
  5. TV za kibongo hasa ATN,TBC NA STAR TV huwa wanapenda kushobokea kuonyesha mechi kubwa zenye upinzani: ikitokea mechi kubwa e.g ARSENAL VS MAN U nilikuwa naweza kupata hata 120,000 kwa gem hiyo tu....lakini TV za kibongo hazitabiriki wakionyesha jua imekula kwako utaambulia elfu 10,000 tu.
  6. Chalenji ingine inabidi uwe na stand by FUNDI ambaye atarekebisha connection yako as huwa inazingua kinoma hasa kipindi cha mvua. Pia uwe na jenerata I GUESS TANESCO si wageni kwako.
  7. Watu wakifungwa hukosa ustaarabu uvumilie matusi na ugomvi
 
Mchanganuo mzuri sana! Hongera smart boy!

duh! Huo ndio mtaji mdogo!
 
Kuna kampuni moja ya lottery sikumbuki jina inafanya franchise ya hii biashara! watu wanatizama mpira na kufanya Sport Betting Sijajua mahitaji yake na mtaji wake lakini ni kitu saf sana[/QUOTE

Biashara ninayo fanya mimi inalipa sana na mtaji ni BUREEE kabsa na mafanikio unayaona bila chenga. Biashara hiyo si nyingine ila ni NETWORK MARKETING. Private me for more details. Ona sasa mtaji wa mamilioni yote hayo....utapata wapi ??? tafakari

Upo na huku eeh? acha kukatisha watu tamaa, kwani nae huyo mwanzilishi wa biashara yako mtaji wake aliutoa wapi?
Hii idea ni nzuri na ni workable si kama hayo ma Network making yanayonyonya time na energy za watu kwa ajili ya kunufaisha watu wachache kama wewe uliye rank ya juu lhivi ulisema uko stage gani tena kwenye biz yenu hyo? maana naona unataka kupanda ngazi tu.
Soma signature yangu.
 
Mbona una over estimate hivyo??.
Anza kadri ya uwezo wako.

Umeona eh! Jamaa utadhani anamkomoa mtu! TV za kawaida laki 5 mpaka 1m. Sasa jamaa anazungumzia 5mil.. Unataka kuanzisha ukumbi ili watu wakusifie au?

kWanza watanzania wengi huwa tunaogopa kuingia sehemu za gharama kama hzo mana utaambiwa mechi Moja mpaka elfu tano. Nani aingie sasa.
 
Sijui una maanisha nini.....labda kama unataka kununua TV aina ya LANGLUNG ambayo haidumu hata miezi mitatu.......HATUKO KUKOMOANA BALI KUCHANGIA MAWAZO......hebu nawe toa mchanagnuo wako hii biashara inahitaji kiasi gani

samsung-le40c750-40-inch-full-hd-freeview-hd-3d-lcd-tv
 
Back
Top Bottom