wazo jepesi!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Wadau.. Ili kuongeza tija (na kupunguza upendeleo wa uteuzi)wa sekta nyeti za nchii km TRA,TPA, maliasili, Miundombinu.... inapotakiwa kuteua mkurugenzi mkuu wa taasisi husika..rais wa Jamhuri ya Muungano angepewa nguvu ya kupendekeza(si kuteua mtu) majina 3 ya juu... Wasailiwa hao wakahojiwe bungeni na bunge lipitishe mmoja wao kuongoza sekta tajwa hapo juu!
 
Inaweza kuwa ni njia moja ya kupunguza tatizo la upendeleo, lakini kama Bunge lijalo litaendelea kuwa la chama kimoja kama lililopita (majority) basi haitafanya tofauti yoyote kwa sababu ya kujikweza kwa mkubwa ili waonekane wamoja. juhudi pia zinahitajika kuchagua wabunge mchanganyiko ili kuleta maana katika maamzi ya bunge.
 
Back
Top Bottom