Wazito PPF wachota ‘vijisenti’

Status
Not open for further replies.
PPF ni moja ya mifuko ya mafao ya uzeeni ambayo imelalamikiwa sana juu ya malipo duni kwa wanachama wao ikilinganishwa na mifuko mingine.

Habari tuliyonyaka inaonyesha kwamba wajumbe wa Bodi iliyomaliza muda wake kipindi kilichopita ilipitisha na kujilipa milioni 200 kwa kila mjumbe. Hiyo ikiwa eti ni shukrani kwa kazi nzuri waliyofanya.

Nimepiga mahesabu yangu kwa idadi ya wajumbe wa bodi ambao walikuwepo, ambao ni wanane mbali na staff wengine wa pembeni:
1. Gray Mgonja
2. Prof Bertha Koda
3. Monica Mbega
4. Elvis Musiba
5. Ramadhan Khijah
6. Dr Kassim Kapalata
7. William Erio
8. Samwel Lwakatare

inaonyesha zaidi ya bilioni iliondoka.

Je, hii ni halali? Wanacahama wa PPF wengine huishia milioni 20 baada ya kuchangia hata kwa miaka 25. hawa wajumbe wanajilipa milioni 200 kila mtu kwa kukaa ktk vikao vya bodi kipindi kisichofikia hata miaka 5!! Na tena nasikia hao hao tena wamependekezwa kurudi ndani ya Bodi.

Heb

Ndugu MchunguZI, naomba ulete vithibitisho kama vile signed minutes, cheque number nk kuonyesha uchotaji huu wa fedha za walalahoi. Na kama taarifa yako ni ya kweli, kazi tunayo kwani huyo Gray Mgonja bado ana soo ya EPA na richmond na tayari kajichomekea ufisadi mwingine!! Na huyo dada Mbga naye,mmmmmmm hhhhhh!!!!
 
Mama Mdogo,
Ni amini Usiamini, I had to ask twice, Ni kweli! Ni kweli! the answer was Yes! Yes! 200 mil NOT 20 or 2 mil. Ni mia mbili!

Naifanyia kazi kutafuta doc. husika ili nizimwage JF.

Kuna mtu pale Chuo chetu Kikuu -UD alalama kwamba those wajumbe wa bodi wamekuwa kama kamati ya Olympic. hawatoki ili kulinda siri za bodi. na somehow, PPF management inawazawadia some sort of ufisadi, ili ku-maintain secrecy.

Particularly was complaining on the behaviour of Prof. Koda ambaye she don't care. Hana tena utetezi wa wanachama walio elimu ya juu bali ni mwanachama anayendeleza ufisadi.

subirini
 
Mie wakati mwingine nahisi tuwaachie tu,manaake wakurugenzi wa Bodi ni wale wale tu..na hawabadilishwi ndiyo maana wanaendelea kula pesa yetu.

Bodi zimejaa wastaafu tu na watu wa wakiEPa
 
Mmhh!! Lisemwalo lipo kama halipo......................sibira ya vuta heri, tusilale hebu na sisi tujaribu kufanya tulaoweza ili kujua ukweli wakati tunasubiri uhakika
 
Hivi Tanzania ni nchi au ni Kampuni inayoendeshwa na wadau wachache wasiotaka hata kuuza sehemu ya hisa zao?
 
...kama mnafikiri EPA & Richmond ndio umafia ulifanyika,subirini siku mjue hayo mashirika ya serikali yanavyo hujumu pesa zetu,ni balaa tupu...yaani nchi inahujumiwa angle zote,na majina na yale yale tuu...kweli kazi ipo maana hata kama unataka kuisafisha ile nchi seems watakusafisha wewe kwanza
 
Hivi unategemea nini kwa mtu au Mkuu wa Shirika aliyewekwa na mjomba wake akafanya au akalifanyia shirika mambo ya maana kama sio kulihujumu ??? Hii ninamzungumzia CEO wa PPF yaani Bw. William Erio, ambaye ni mpwa wake Che Nkapa (Mr. Kiwira) kama ya kuuhachia URAIS wa awamu ya tatu aliamua kumrushia TAULO kijana wake ili naye ajaribu kuifisadi PPF kama yeye alivyoifisadi NCHI !

Na huyo mama KODA mlitegemea awatetee nini kwani naye alitokea kwenye chaki akiwa ana mbele wala nyuma sasa angefanya nini kama sio kupokea hicho kitita i.e. TZS 200,000,000/= kama ASANTEH pamoja na wajumbe wengine waliotajwa ????

Watanzania hasa WANYONGE walio wengi, mtetezi aliyebaki ni watu kama akina Dr. Mwakyembe (CCM), Dr. Slaa(CHADEMA), Bw. Kimaro(CCM) na kadhalika. But all in all our prayers will always BE there and one day the ALMIGHTY will rebuke and reply to whatsoever we have been crying to !!!!!!
 
PPF ni moja ya mifuko ya mafao ya uzeeni ambayo imelalamikiwa sana juu ya malipo duni kwa wanachama wao ikilinganishwa na mifuko mingine.

Habari tuliyonyaka inaonyesha kwamba wajumbe wa Bodi iliyomaliza muda wake kipindi kilichopita ilipitisha na kujilipa milioni 200 kwa kila mjumbe. Hiyo ikiwa eti ni shukrani kwa kazi nzuri waliyofanya.

Nimepiga mahesabu yangu kwa idadi ya wajumbe wa bodi ambao walikuwepo, ambao ni wanane mbali na staff wengine wa pembeni:
1. Gray Mgonja
2. Prof Bertha Koda
3. Monica Mbega
4. Elvis Musiba
5. Ramadhan Khijah
6. Dr Kassim Kapalata
7. William Erio
8. Samwel Lwakatare

inaonyesha zaidi ya bilioni iliondoka.

Je, hii ni halali? Wanacahama wa PPF wengine huishia milioni 20 baada ya kuchangia hata kwa miaka 25. hawa wajumbe wanajilipa milioni 200 kila mtu kwa kukaa ktk vikao vya bodi kipindi kisichofikia hata miaka 5!! Na tena nasikia hao hao tena wamependekezwa kurudi ndani ya Bodi.

Heb

Hivi huyu Glay Mgonja uyo kwenye bodi ngapi?? Maana kila mahali namsikia yeye tu!!!!
 
Jamani nimechunguza hizi habari za ufisadi wa PPF nikagundua kuwa hao wajumbe wanaotajwa kulipwa mamilioni sio kweli. Kwanza bodi haijamaliza muda wake wala hakuna wajumbe walioondoka. Tuangalie waleta habari wasije wakasabisha mtandao wetu ukashatakiwa na hatimaye kufungiwa.
Mhh, hakuna hata mjumbe mmoja aliyelipwa. Habari za aina hii ni hatari mno.

Semsekwa.
 
PPF ndio mfuko ambao haumnufaishi mfanyakazi - awe mkubwa au mdogo.

Licha ya kutangaza faida ya mabilioni na uwekezaji wa matrilioni, bado mafao yao ni madogo, hayana riba, yanatumia formula inayomlalia mchangiaji, ukiachishwa kazi inabidi usubiri hadi uzeeke ndio waanze kukulipa (hebu fikiria umepata redundancy ukiwa na miaka 36 usubiri hadi ufike 55!!). Formula wanayotumia kwa wafanyakazi wao ni tofauti na ile ya members - why?

Uliza maprofesa wanapostaafu. Wanaambulia milioni 7 mpaka 10. Wanachama wa PSPF (wafanyakazi wa serikalini - kwenye level kama hiyo) wanatoka na milioni30 mpaka 50.
 
Waheshimiwa,

Kuna tatizo!!! yaani huyu Mgonja ni Member wa Bodi wa Mashirika yote ya Umma? hata kama ni kwa cheo chake lakini mimi naona hapana mambo yamepinda?
 
jamani Nimechunguza Hizi Habari Za Ufisadi Wa Ppf Nikagundua Kuwa Hao Wajumbe Wanaotajwa Kulipwa Mamilioni Sio Kweli. Kwanza Bodi Haijamaliza Muda Wake Wala Hakuna Wajumbe Walioondoka. Tuangalie Waleta Habari Wasije Wakasabisha Mtandao Wetu Ukashatakiwa Na Hatimaye Kufungiwa.
Mhh, Hakuna Hata Mjumbe Mmoja Aliyelipwa. Habari Za Aina Hii Ni Hatari Mno.

Semsekwa.

umechunguzia Wapi Habari Zako Mzee? Manake Aliyeleta Hizi Habari Anaonekana Anauhakika Wa Kutosha Na Amesema Anaenda Kutuletea Ushahidi. Sasa Wewe Umelichunguzaje Hili Jambo? Tunaomba Ushahidi Wa Kutosha.

Pamoja Na Hayo, Lisemwalo Lipo, Kama Halipo Linakuja, Swala La Richmond Lilianza Hivi Hivi, Watu Wakasema Ni Uongo Lakini Ukweli Umekuja Kugundulika.
 
Wakuu, samahani naomba kutoka nje kidoogo ya mada. Nimeacha kazi mwaka 2007 na nimeambiwa kuwa mafao yangu ya uzeeni ya PPF nitaanza kuyapata 2014 nitakapofikisha
miaka 55! Kuna njia yoyote naweza kutumia ili kupata mafao yangu sasa maana naona miaka 6 ijayo ni mbali sana na hizo laki moja na Alf Ishirini kwa mwezi ninazotegemea kupata kuanzia hapo naona zitakuwa kama kichekesho tu. Nifanyeje??
 
BabaDesi, Pole sana; hizo ndio sheria za mafao ya PPF kama zinavyoelezwa ktk PPF Act, No. 14 ya 1978 na marekebisho yake ya 2001.

Lakini, scenario kama yako ilisababisha kurekebishwa kwa kifungu cha 26 na 44 cha sheria ya 1978 hapo mwaka 2001. Kama unadhani huitaji kusubiri kama inavyosema sheria ya PPF basi unalazimika kujitoa kwenye mfuko huo ambapo utarudishiwa michango yako yote na ile ya Mwajiri wako:
"44.-(1) Where a member ceases to be benefits employed in circumstances in which he is not eligible for any pension, gratuity or any other benefit under the provisions of this Act, he shall be refunded the amount of his own contributions and that of his employer to the Fund."

Kumbuka, kifungu kinacholazimisha mafao kutolipwa mpaka ufikishe miaka 55 kiliwekwa strategically kumfanya mhusika ambaye atakuwa amehacha/kuhachishwa kazi kabla ya retirement aendelee na mfuko huo pale anapoajiriwa sehemu nyingine. Kwahiyo inabidi uwathibitishie kwamba hujaajiriwa sehemu nyingine na wala hupokei mafao ya aina yoyote kama ilivyoelezwa kwenye marekebisho ya 2001 [9.(d)(b)] ya kifungu cha 26 cha sheria mama ya 1978.

Niishie hapa, wengine pia waweza kukupa ushauri mzuri zaidi na wenye manufaa. Dukuduku muhimu ambalo tunapaswa kuliangalia ni ufinyu wa fao la PPF. Jamani kwa wenye uzoefu tunaomba tusaidiane, fao analopata mstaafu wa PPF ni dogo sana, kuna umuhimu wa kujipanga ili kuomba mabadiliko kwenye hesabu zinazofanywa maana kuna walakini ukilinganisha na fao walipatalo wastaafu wa mifuko mingine.

Weekend njema!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom