Waziri wa zamani jela.

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Sheria ni msumeno,
Mahakama ya umoja wa mataifa inayowahukumu wale waliopanga mauaji ya kimbari nchini Rwanda; imemhukumu kwenda jela miaka 30 waziri wa zamani wa mambo ya ndani.

Mahakama hiyo ya kimataifa ya uhalifu wa kivita, yenye makao yake nchini Tanzania, imesema callixte Kalimanzira, mshirika wa karibu wa rais na waziri mkuu wakati wa mauaji, alipatikana na hatia ya mauaji ya kimbari na kula njama ya kufanya mauaji.

 
ndio sheria ni msumeno....hata hapa TZ waitwee waliofuja pesa zetu wapelekwe mahakamani.........
 
Hiyo ni komesha Kenge. Wawapeleke na hawa mafisadi...maana na wao ni chanzo cha vita katika nchi nyingi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom