Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Tumpe pole. Leo nimeshuhudia magari kibao yakiwemo ya Serikali yakielekea maeneo ya Tanga/Kilimanjaro/Arusha. Nimeshuhudia basi moja likiungua kati ya Chalinze na Segera majira kama ya saa tano asubuhi hivi na wakati huo Waziri wa Uchukuzi naye akipita katika eneo la ajali na dude lake ambalo nami nalihudumia kwa kodi!! Huenda tukasikia ajali nyingi manake magari yalikuwa ni mengi mno nikadhani dar hakuna magari kabisa, lahaula!! kufika dar nakutana na foleni!!