Waziri wa ujerumani aliyechakachua phd ajiuzulu

Possible in Germany but not in Tanzania
...Tanzania bila vihiyo..INAWEZEKANA ! Kama tumeweza kumobilize vimkopo na chenji za madafu tukajenga mabarabara, unadhani hatuwezi kuwasaka vihiyo ? dhamira na nia ya kweli tu ,tunaweza
 
This is where i salute white people their smart and determined of whatever they want to uncover. If we try this at bongoland ohhh God! only few will remain clean the rest we will even throw them in jail
 
Tafakuru ya Anette Schavan waziri muaminifu wa Chancellor wa Ujerumani Mama Mikel , amejiuzulu kwa kosa la kudanyanya kwenye thesis yake ya shahada ya uzamili.
Tunajifunza mengi kama waafrica ambapo watu ambao proven kabisa walidanya na kutunukiwa shahada za uzamili na uzamifu kwa kutumia thesis za kunakili wanaweza kuwa viongozi wakubwa kabisa wa nchi.....na yeyote anayehoji anajikuta futi sita ardhini !! DARK CONTINENT

Remembering BENISAA8 kosa kubwa kuhoji thesis !!!!
 
Back
Top Bottom