Waziri wa nishati na madini,tuliouziwa nguzo za umeme na tanesco ni haki au tumeibiwa??

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Nina zaidi ya miezi sita toka nilipie nguzo mbili kwa zaidi ya milioni mbili na nusu na umeme bado haukufungwa wala nguzo kuwekwa.sasa swali langu ni je nimeibiwa au ni halali kulipia nguzo pindi uendapo kuomba umeme?niliwahi kusikia kwenye bunge lililopita,sikumbuki ni mbunge gani alisema watu waliolipia nguzo waende wakadai pesa zao kwani hakuna sheria inayosema mteja alipie nguzo pindi aendapo kutaka aunganishiwe umeme.naomba mwenye uelewa wa hili suala anisaidie kujua kama nimeibiwa au ni sawa kulipia hizo nguzo.asanteni
 
Back
Top Bottom