huo ndio ubinadamu...watanganyika igeni mfano..
unanikumbusha wakati akihohiwa itv kwenye kipindi cha dk 45, aliyasema hayo maneno alipoulizwa kama anaweza kujuzulu baada ya meli ya spice islander kuzamalakini sio yeye ndiye aliyesababisha ajari iweje aondoke?
Ni mke na mume. CCM mume, CUF mke.
sweetlady
nimekuwa na mchango tofauti maana tungefanana ktk kuchangia
Ni waziri wa miundombinu na uchukuzi wa Zanzibar kuwajibika na ajali ya meli ya hivi karibuni.
Yuko live Channel Ten mwenyewe anatangaza.
Inaonekana kweli ameumia sana kwa kuwajibika labda yeye siyo gamba hebu fuatilieni zaidi
Huo ndio uongozi unapoharibu kaa pembeni pisha wengine na wao wafanye kazi' kuna miwaziri huku kwetu hata liharibu vp halijiuzulu litatafuta sababu hata uongo ili libaki madarakani'wengine mpaka wanaibiwa na makahaba lakini wanadunda tu hayana hata hisia za aibu'
Ni uamuzi uliochelewa,lakini bado nampogeza pamoja na chama chake,hiyo wizara itawasumbua sana CUF,kwasababu kuna uchafu mwingi ambao washiriki wakuu ni maboss wa CCM Zanzibar.