Waziri wa maliasili na utalii

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Kwa tetesi nilizozipata kutoka kwa askari wa wanyama pori ni kwamba waziri wa maliasili na utalii Mr. Kagasheki amepigwa mkwara na wakuu baada ya kuwasimamisha baadhi ya maafisa wa wanyama pori wa serengeti kutokana na sakata la kuuawa kwa faru. Taarifa hiyo ilizidi kupanuka hadi na kusema kuwa Mr. Maige nae amepigwa biti kutokana na maslahi wa viongozi wanaotuongoza.

Naiwakilisha ila nikapata update nitataarifu jukwaa
 
wakuu gani hao waliompiga mkwara? ni dhaifu na liwalo na liwe nini?
 
Back
Top Bottom