Waziri wa Kikwete alidanganya Bunge

Fareed

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
328
135
Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame M. Mbarawa, leo (14/7/2011) akiwasilisha hotuba yake ya bajeti ya 2011/12, aliliambia Bunge kuwa hotuba yake iko hewani kwenye mtandao (website) wa wizara yake -- MST Website -- katika kutaka kuonesha kuwa wizara yake inakwenda na sayansi na teknolojia kwa vitendo.

Hadi ninapost thread hii ambapo wizara hiyo sasa inajumuisha majadiliano kwenye bajeti hiyo na Bunge kutakiwa kupitisha bajeti hiyo, hotuba yake haijawekwa kwenye website ya wizara yake.

Huku ni kulidanganya Bunge. Hawa viongozi wa serikali inabidi waanze kuchukuliwa hatua kali kwa kudanganya hovyo Bunge na wananchi na kutokuwa makini kwenye kazi zao.

Hotuba ambao iko kwenye website ni ya 2010/11 iliyotolewa mwaka jana na waziri wa zamani, Prof. Peter Msolla.

MST Website
 
Nasikitika kuona kwamba hata sera ambazo wizara inazisimamia hazipatikani kwenye tovuti.something needs to be done about information and communication serikalini kwa kweli..tunaona si mambo ya msingi ila ukweli yana umuhimu wa kipekee.
 
Kwenye hiyo cabinet usipodanganya ndo wenzako wanakushangaa.
Wanatofautiana tu wengine waongo sana wakati wengine waongo kidogo.
 
ILi uqualify kuwa mbunge au Waziri CCM lazima siku zote useme uongo kwa sababu watanzania ni madondocha na huwa wanasahau haraka nanukuu kauli ya Yussuf Makamba akiongea na BBC baada ya uchaguzi mkuu
 
mnashangaa nni sasa......kwan hamjui kunzi jk na ccm yoe ni waongo?

sitta ndo usiombe...yule mzee kw fix balaa
 
ILi uqualify kuwa mbunge au Waziri CCM lazima siku zote useme uongo kwa sababu watanzania ni madondocha na huwa wanasahau haraka nanukuu kauli ya Yussuf Makamba akiongea na BBC baada ya uchaguzi mkuu

Huwezi kujulikana CCM na mbele ya JK kama wewe si muongo .Ndiyo maana watendaji wengu humdanganya JK na hakuna hatua baadaye maana anajua uongo ni sera za CCM .
 
Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame M. Mbarawa, leo (14/7/2011) akiwasilisha hotuba yake ya bajeti ya 2011/12, aliliambia Bunge kuwa hotuba yake iko hewani kwenye mtandao (website) wa wizara yake -- MST Website -- katika kutaka kuonesha kuwa wizara yake inakwenda na sayansi na teknolojia kwa vitendo.

Hadi ninapost thread hii ambapo wizara hiyo sasa inajumuisha majadiliano kwenye bajeti hiyo na Bunge kutakiwa kupitisha bajeti hiyo, hotuba yake haijawekwa kwenye website ya wizara yake.

Huku ni kulidanganya Bunge. Hawa viongozi wa serikali inabidi waanze kuchukuliwa hatua kali kwa kudanganya hovyo Bunge na wananchi na kutokuwa makini kwenye kazi zao.

Hotuba ambao iko kwenye website ni ya 2010/11 iliyotolewa mwaka jana na waziri wa zamani, Prof. Peter Msolla.

MST Website

JKambaye ni baba ni mwongo, sembuse mawaziri (wanawe) washindwe kuwa waongo? Jambo la kushangaa halipaswi kuwa uwongo wa mawaziri bali kama wangekuwa wa kweli ndiyo tungepaswa kuwashangaa.
 
Si anajua hakuna atayefungua umo bungeni mpaka watoke nje!
Ila nowdays kusema uongo ndo dili
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom