Waziri wa Kazi, vipi kuhusu ukaguzi wa vyeti vya elimu katika kampuni binafsi?

Mfano wako tu mdogo unaonesha 'huna elimu'. Naomba unielewe vyema, sijasema hujasoma, nasema huna elimu. Fleet Management ni very serious profession ambayo sio tu inahitaji msomi, bali attitude as well. Tracking Devices kwenye magari yako zitakusaidia kuona mambo mawili matatu, je zitafanya pia maamuzi? GPS itapromote madereva, itasitisha route zisizo na faida, itabadili njia, au wewe shida yako ni kuziona tu?

Huu ujinga ujinga ndio unatufanya tushindwe kuwa wawekezaji. Rasilimali watu ni muhimu kuliko unavyodhani. Kuna tofauti ya kusambaza bia na kupromote market ya bia. Soko linapaswa liende likitanuka. Uache kuajiri mtu anayejua kufanya market analysis ukimbilie cheap labor kwa kudhani unasave. Biashara itakufia mkuu. Waulize wenzako waliokurupuka na mikopo kufuga mbuzi wa maziwa kwa kuwaajiri wachunga ng'ombe wawalishe...kuna mtu ana hamu ya mbuzi wa maziwa tena
asante sana kwa ufafahuzi kaka
 
iawezekana najibushana na mtu mwenye vyeti ambaye hajui anatakiwa kufanya nini, anaejua kulalamika tu.
 
huu ni mkuki,wengi lazima wataichukia sana hii siredi..inachoma sana!
Hakuna chochote wala haichomi!Mimi ni mmoja wa watu niliyetoka na matokeo mazuri sana sec. hadi chuoni GPA 4!Niliingia mtaani nikiamini vyeti vyangu vitawa impress waajiri.Hata hivyo wengi walikuwa na mitizamo tofauti sana.Waliishia kusifu tu ufaulu wangu ila sikupata ajira hadi pale nilipoamua kubadili mitizamo yangu kuwa chanya ndipo nikagundua nimekuwa mtu muhimu sana na sasa kila mwajiri angependa kufanya kazi na mimi ila hata hivyo nimeamua kujiajiri mwenyewe.Nawashauri vijana mnapoingia sekta binafsi achaneni na kiburi cha vyeti,jishusheni,muonyeshe uwezo wenu mtakubalika tuu.Sio kuingia ofisini unataka uwe kama malkia ama mfalme kampuni ikutumikie wewe kisa tu eti una elimu,utachemsha asubuhi na kuja kulalamika mitandaoni
 
Mfano wako tu mdogo unaonesha 'huna elimu'. Naomba unielewe vyema, sijasema hujasoma, nasema huna elimu. Fleet Management ni very serious profession ambayo sio tu inahitaji msomi, bali attitude as well. Tracking Devices kwenye magari yako zitakusaidia kuona mambo mawili matatu, je zitafanya pia maamuzi? GPS itapromote madereva, itasitisha route zisizo na faida, itabadili njia, au wewe shida yako ni kuziona tu?

Huu ujinga ujinga ndio unatufanya tushindwe kuwa wawekezaji. Rasilimali watu ni muhimu kuliko unavyodhani. Kuna tofauti ya kusambaza bia na kupromote market ya bia. Soko linapaswa liende likitanuka. Uache kuajiri mtu anayejua kufanya market analysis ukimbilie cheap labor kwa kudhani unasave. Biashara itakufia mkuu. Waulize wenzako waliokurupuka na mikopo kufuga mbuzi wa maziwa kwa kuwaajiri wachunga ng'ombe wawalishe...kuna mtu ana hamu ya mbuzi wa maziwa tena
zitafanya pia maamuzi? GPS itapromote madereva, itasitisha route zisizo na faida, itabadili njia, au wewe shida yako ni kuziona tu?

unajaza kurasa tu. akishaona ndio anafanya maamuzi.
 
Hakuna chochote wala haichomi!Mimi ni mmoja wa watu niliyetoka na matokeo mazuri sana sec. hadi chuoni GPA 4!Niliingia mtaani nikiamini vyeti vyangu vitawa impress waajiri.Hata hivyo wengi walikuwa na mitizamo tofauti sana.Waliishia kusifu tu ufaulu wangu ila sikupata ajira hadi pale nilipoamua kubadili mitizamo yangu kuwa chanya ndipo nikagundua nimekuwa mtu muhimu sana na sasa kila mwajiri angependa kufanya kazi na mimi ila hata hivyo nimeamua kujiajiri mwenyewe.Nawashauri vijana mnapoingia sekta binafsi achaneni na kiburi cha vyeti,jishusheni,muonyeshe uwezo wenu mtakubalika tu tuu.Sio kuingia ofisini unataka uwe kama malkia ama mfalme kampuni ikutumikie wewe kisa tu eti una elimu,utachemsha asubuhi na kuja kulalamika mitandaoni
waeleze vijana...
sisi tumejiajiri ndio tunajua faida ya cheti na elimu,
 
Tuanze na wewe mtoa mada.

Leta cheti walau hata cha jkt ili tuhakiki huo u "Infantry Soldier" wako
 
ndugu zangu katika jamiiforums, bila shaka wote mu wazima wa afya,

kwa kuzingatia ukweli kuwa sekta binafsi hapa tanzania ndio imeajiri wafanyakazi wengi kuliko hata taasisi za serikali, hivyo kwa namna yoyote ile utendaji kazi wao unaathari (negatively or positively) kubwa sana katika uchumi na ustawi wa taifa letu, baada ya waziri wa kazi kuamuru kufanyika kwa zoezi la ukaguzi wa vyeti kwa watumisi wote wa mashirika ya umma, atakuwa na mpango gani kwa watumishi wa sekta/makampuni binafsi walioajiriwa kwa ujanja ujanja na baadhi kwa kutoa rushwa za ngono ama kutumia vyei visivyo halali. ninafahamu fika ya kuwa waziri wa kazi (serikali) has limited scope juu ya namna ya uendeshwaji wa mashirika na kampuni binafsi, lakini wafanyakazi ****** waliopo na kujaa huko katika kampuni binafsi wanaumiza uchumi wa nchi yetu kupitia utoaji wa huduma mbovu na zisizokidhi viwango.

watanzania kamwe hawataweza kushindana na watu kutoka nchi zingine katika jumuiya ya afrika mashariki kama tatizo la ubabaishaji katika utoaji wa huduma katika sekta binafsi alitadhibitiwa mapema

naomba kuwasilisha.
SEKTA BINAFSI TUNAANGALIA ZAIDI UTENDAJI/UFANISI NA SIYO VYETI. KAMA KAMA UNA PHD KAMA HUWEZI MAJUKUMU YAKE UNAONDOKA TUU MWENYEWE BILA HATA KUANDIKIWA BARUA
 
Hakuna chochote wala haichomi!Mimi ni mmoja wa watu niliyetoka na matokeo mazuri sana sec. hadi chuoni GPA 4!Niliingia mtaani nikiamini vyeti vyangu vitawa impress waajiri.Hata hivyo wengi walikuwa na mitizamo tofauti sana.Waliishia kusifu tu ufaulu wangu ila sikupata ajira hadi pale nilipoamua kubadili mitizamo yangu kuwa chanya ndipo nikagundua nimekuwa mtu muhimu sana na sasa kila mwajiri angependa kufanya kazi na mimi ila hata hivyo nimeamua kujiajiri mwenyewe.Nawashauri vijana mnapoingia sekta binafsi achaneni na kiburi cha vyeti,jishusheni,muonyeshe uwezo wenu mtakubalika tuu.Sio kuingia ofisini unataka uwe kama malkia ama mfalme kampuni ikutumikie wewe kisa tu eti una elimu,utachemsha asubuhi na kuja kulalamika mitandaoni
yani bora hata usingeandika, hujui hata mimi nimeandika nini hapo juu? didi you read the whole message ama umekurupuka tu usingizini? hapa tunazungumzia watu kutumia vyeti vya watu wengine kupata kazi pamoja na watu kupata kazi ambazo hawana sifa wala taaluma katika kazi husika jambo linalopelekea utoaji wa huduma mbovu zinazoathiri uchumi na ustawi wa taifa letu
 
zitafanya pia maamuzi? GPS itapromote madereva, itasitisha route zisizo na faida, itabadili njia, au wewe shida yako ni kuziona tu?

unajaza kurasa tu. akishaona ndio anafanya maamuzi.
Ndio maana nikakwambia HUNA ELIMU. Level yako ya uwekezaji unaouwaza unaishia kwenye UJASIRIAMALI. Wawekezaji wakubwa hawafanyi kazi zao kwa mtindo huo. Unasema 'akishaziona ndio anafanya maamuzi' nani sasa? Kuna haja gani ya kuwa na managers na admins kama owner wa kampuni anafanya maamuzi mwenyewe?

Fleet Manager ndio mwenye kazi hiyo. Kwa bosi wake yeye ataenda kupeleka proposals, ammendments, kuomba approvals na kusuggest hiki na kile. Sasa sehemu ya kumuweka mtu professional umuweke 'mtu wa aina yako' yaani mbangaizaji halafu ulazimike tena kujihangaisha na GPS badala ya kuwaza strategic issues, huo ni uwekezaji au ujasiriamali?

Hebu iwaze kampuni kama PUMA ENERGY halafu waza huo upuuzi wako wa form 4 kusoma GPS huku mmebeba fuel ya millions of money. Ndugu yangu tuache blah blah, mimi sitafuti ajira nina biashara zangu. Nakueleze umuhimu wa elimu katika kila unachofanya. Hata huko kujiajiri utajiajiri kwa kufoji nini sasa, ideas? Forgery haina excuses...ni criminal offense na inapaswa kushughulikiwa kwa nguvu zote.
 
100% correct
 
ndugu zangu katika jamiiforums, bila shaka wote mu wazima wa afya,

kwa kuzingatia ukweli kuwa sekta binafsi hapa tanzania ndio imeajiri wafanyakazi wengi kuliko hata taasisi za serikali, hivyo kwa namna yoyote ile utendaji kazi wao unaathari (negatively or positively) kubwa sana katika uchumi na ustawi wa taifa letu, baada ya waziri wa kazi kuamuru kufanyika kwa zoezi la ukaguzi wa vyeti kwa watumisi wote wa mashirika ya umma, atakuwa na mpango gani kwa watumishi wa sekta/makampuni binafsi walioajiriwa kwa ujanja ujanja na baadhi kwa kutoa rushwa za ngono ama kutumia vyei visivyo halali. ninafahamu fika ya kuwa waziri wa kazi (serikali) has limited scope juu ya namna ya uendeshwaji wa mashirika na kampuni binafsi, lakini wafanyakazi ****** waliopo na kujaa huko katika kampuni binafsi wanaumiza uchumi wa nchi yetu kupitia utoaji wa huduma mbovu na zisizokidhi viwango.

watanzania kamwe hawataweza kushindana na watu kutoka nchi zingine katika jumuiya ya afrika mashariki kama tatizo la ubabaishaji katika utoaji wa huduma katika sekta binafsi alitadhibitiwa mapema

note: hapa tunazungumzia watu wanaotumia vyeti vya watu wengine ama bandia kupata kazi pamoja na watu kupata kazi ambazo hawana sifa wala taaluma husika jambo linalopelekea utoaji wa huduma mbovu zinazoathiri uchumi na ustawi wa taifa letu
Kampunii binafsi nankakutuma ufanye huko..yyeye anakaguaa vya serikali we aukoserikalin kaakimya misumari iwaingie kakazenu NA Dada zenu mabinti kadhaa wa nssf washaresign awajawambia
 
Hakuna chochote wala haichomi!Mimi ni mmoja wa watu niliyetoka na matokeo mazuri sana sec. hadi chuoni GPA 4!Niliingia mtaani nikiamini vyeti vyangu vitawa impress waajiri.Hata hivyo wengi walikuwa na mitizamo tofauti sana.Waliishia kusifu tu ufaulu wangu ila sikupata ajira hadi pale nilipoamua kubadili mitizamo yangu kuwa chanya ndipo nikagundua nimekuwa mtu muhimu sana na sasa kila mwajiri angependa kufanya kazi na mimi ila hata hivyo nimeamua kujiajiri mwenyewe.Nawashauri vijana mnapoingia sekta binafsi achaneni na kiburi cha vyeti,jishusheni,muonyeshe uwezo wenu mtakubalika tuu.Sio kuingia ofisini unataka uwe kama malkia ama mfalme kampuni ikutumikie wewe kisa tu eti una elimu,utachemsha asubuhi na kuja kulalamika mitandaoni
Hakuna aliyesema hapa kuwa watu wenye vyeti sio wajinga...wajinga mpo kama unavyoshuhudia hapa. Lakini mbadala wake ni kuajiri MWENYE CHETI ASIYE MJINGA na sio kuokota asiye na vyeti kwa mtindo wa sandakalawe.

Naamini unapoenda kwenye usaili unaona mko watahiniwa kadhaa, ile maana yake miongoni mwa wenye vyeti, wapo bora na wasio bora. Hakuna kampuni anayeweza kusema...'wenye taaluma wameshindwa, sasa naomba wasio na taaluma' siku zote ataita kundi lingine la wenye taaluma na kurudia usaili.

Pole sana ndugu yangu ambaye ulisoma na hukupata elimu. Asante kwa kuwa mkweli. Hapa tunazungumzia watu na taaluma zao
 
Ndio maana nikakwambia HUNA ELIMU. Level yako ya uwekezaji unaouwaza unaishia kwenye UJASIRIAMALI. Wawekezaji wakubwa hawafanyi kazi zao kwa mtindo huo. Unasema 'akishaziona ndio anafanya maamuzi' nani sasa? Kuna haja gani ya kuwa na managers na admins kama owner wa kampuni anafanya maamuzi mwenyewe?

Fleet Manager ndio mwenye kazi hiyo. Kwa bosi wake yeye ataenda kupeleka proposals, ammendments, kuomba approvals na kusuggest hiki na kile. Sasa sehemu ya kumuweka mtu professional umuweke 'mtu wa aina yako' yaani mbangaizaji halafu ulazimike tena kujihangaisha na GPS badala ya kuwaza strategic issues, huo ni uwekezaji au ujasiriamali?

Hebu iwaze kampuni kama PUMA ENERGY halafu waza huo upuuzi wako wa form 4 kusoma GPS huku mmebeba fuel ya millions of money. Ndugu yangu tuache blah blah, mimi sitafuti ajira nina biashara zangu. Nakueleze umuhimu wa elimu katika kila unachofanya. Hata huko kujiajiri utajiajiri kwa kufoji nini sasa, ideas? Forgery haina excuses...ni criminal offense na inapaswa kushughulikiwa kwa nguvu zote.
nilikuwa nataka nisiandike tena maana huna la kunishauri, ila ulipotolea mfano wa puma nimecheka. nilifanya kampuni kubwa kama hiyo au hiyo na kwa nafasi!! 20yrs+ hakuna ulichoandika sikijui!! ila kuna tofauti kubwa sana kati ya sekta binafsi na ya umma...
 
Kwa hiyo ukashawishika kuandika tena ili tu uniambie UMECHEKA? Nilifikiri utaandika juu ya namna ulivyofanya kazi za fleet management bila kuwa na managerial skills. Kweli unatosha kujiajiri...safi sana
 
Ndio. Mbona wanalazimishwa kuajiri Watanzania?

Mkuu, serikali inahakiki vyeti vya watumishi wa umma kwa sababu ndiye mmiliki wa hiyo sekta na muwajibikaji mkuu wa utendaji wake. Inahitaji kujihakikishia utendaji "uliotukuka" wa taasisi zake.

Kwa upande wa sekta binafsi, serikali ina jukumu la kusimamia sera na sheria tu. Haiwajibiki kwa utendaji wake. Soko ndilo huamua. Ukiajiri villazzza wakakuharibia bidhaa, biashara na huduma unazouza, wateja wakakukimbia ni juu yako.

Aidha, serikali haiwezi kukuuliza kwa nini wewe wa darasa la saba ni mkurugenzi mkuu wa kiwanda chako cha juisi. AU mwanao kidato cha nne ni mhasibu mkuu. Au bintiyo mwenye sayansi kimu ni mkuu wa uzalishaji. CHA MAANA ni kufikia viwango vya bidhaa, mazingira, mfumo wa hesabu na kodi sahihi kulipwa. Kuhusu ajira kwa Watanzania hilo ni suala la sera; liko kwenye sera ya ajira na sheria ya uwekezaji.

Kama wapo walioiba au kugushi vyeti hilo ni suala la jinai. Mwenye data apeleke kwenye vyombo vya dola. Itakuwa kama kutaka nchi nzima ikaguliwe. Ni sahihi kwa Serikali kupoteza muda na rasilimali zetu "kuwasaidia" watu kwenye biashara zao? Wakitoa huduma mbovu ni ama wafe wenyewe kibiashara au wakikiuka sheria wafungiwe jumla, basi.
 
Back
Top Bottom