Waziri wa Kazi, vipi kuhusu ukaguzi wa vyeti vya elimu katika kampuni binafsi?

Sina cheti feki mimi na sijaunga unga, ila nafanya kazi na wanaoitwa elimu ya kuunga unga na wako competent kuliko "wasomi" wenyewe!! Hata baadhi ya walio na vyeti feki, wanapiga mzigo fresh sana.
Ungekuwa unajua kusoma na kuandika kama wasomi wenzako, ningekuomba unifafanulie maana ya yale maneno wasomi wanaoajiri wanaandika kwenye matangazo ya kazi 'BARAFUYAMOYO & Co IS AN EQUAL OPPORTUNITY EMPLOYER' ONLY SHORT LISTED CANDIDATES WILL BE CONTACTED

Halafu pia ukanisaidia kujua kisa cha kuweka QUALIFICATION za elimu wakati lengo la sekta binafsi ni 'mzigo fresh', sasa kwa nini wasiweke wazi ili wachakalikaji wote waje?
 
your day will come sir, naona povu linakutoka, hahahahaaaaaaaaa
upload_2016-7-27_8-37-3.png
 
ufafanuzi wako hauna mashiko hata kidogo, na wewe lazima utakuwa ni mmoja wa hao tunaowaongelea, kaa mkao wa kula
Sijawahi hata kuibia tu mtihani ije iwe cheti?Halafu inaonekana wewe ndio wale mnaosoma kwa kukariri shuleni ili upate A halafu uajiriwe kama meneja!Sasa ukija na akili hiyo huku katika private sector utaishia kuwa frustrated!Maarifa ya kufanikiwa hayahusiani kabisa GPA na hasa hizi za kitanzania.
 
But believe me, he is not foolish enough to hire his gardener for a Chief Accountant. Proverbs are for the wise...usimuelewe kinyumenyume ukadhani mna mtazamo mmoja. Hapo anamaanisha, pamoja na cheti chako bado unapaswa kujiambatanisha na mtazamo chanya, sio usiwe na cheti.
sijasema mimi....
 
time will tell, wait and see
 
Na mimi nimekusaidia kumuelewa. Nani atamuajiri daktari kwa kuwa tu ana good attitude? Lakini ukiletewa madaktari wawili wa elimu sawa, utamchagua mwenye good attitude. Tujifunze kufikiri Watanzania, maisha ni mahesabu na sio wizi wizi
umefafanua kitu kimoja kizuri sana. by the way, mambo yangekuwa rahisi kama wanavyofikiri, nadhani vyuo vyote vingefungwa
 
But believe me, he is not foolish enough to hire his gardener for a Chief Accountant. Proverbs are for the wise...usimuelewe kinyumenyume ukadhani mna mtazamo mmoja. Hapo anamaanisha, pamoja na cheti chako bado unapaswa kujiambatanisha na mtazamo chanya, sio usiwe na cheti.
yaaaaah kweli kabisa
 
Na mimi nimekusaidia kumuelewa. Nani atamuajiri daktari kwa kuwa tu ana good attitude? Lakini ukiletewa madaktari wawili wa elimu sawa, utamchagua mwenye good attitude. Tujifunze kufikiri Watanzania, maisha ni mahesabu na sio wizi wizi
unajua kuna tofauti kati ya ajira za taaluma na ajira za uzalishaji. mtu anaeendesha mashine wakati mwingine anahitaji maelekezo tu na akazalisha kwa faida, kusema sekta binafsi inamaanisha nyingi si za huduma ni za uzalishaji. ntakupa mfana. msafirishaji ambaye angehitaji kuajirimtu mwenye digrii moja kuyafatilia magari yake anaajiri wa kidato cha nne anafunga magari yake mitambo ya GPS anayaona akiwa nyumbani, mwenye kuuza bia anaweka wakala mwenye elimu ya f4 mradi anajua kusambaza, wahasibu wamemezwa na 'accounting package' ambazo zinahitaji f4 ku input tarakimu tu mambo yanaenda kwa ufanisi....nk
 
TUWAZE KUJIAJIRI. HATA MAREKANI SEKTA BINAFSI NDIO INA MCHANGO MKUBWA, TENA WASANII NDIO WANAO ONGOZA KUIPA AMERIKA MAPATO. ILA HAO WASANII NI WATU WALIOJIAJIRI WENYEWE. kusubiri waziri afukuze ni kuonyesha elimu zetu bado hazisaidii kuwajenga vijana kujiajiri. nchi hii ina maeneo mengi ya kufuga,kuvua,kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa tz, maji yapo. lakini una vyeti uko mjini na unalalamika hakuna ajira, hata kulima maua tupelekee wazungu au mchicha tule wenyewe........
 
ndugu zangu katika jamiiforums, bila shaka wote mu wazima wa afya,

kwa kuzingatia ukweli kuwa sekta binafsi hapa tanzania ndio imeajiri wafanyakazi wengi kuliko hata taasisi za serikali, hivyo kwa namna yoyote ile utendaji kazi wao unaathari (negatively or positively) kubwa sana katika uchumi na ustawi wa taifa letu, baada ya waziri wa kazi kuamuru kufanyika kwa zoezi la ukaguzi wa vyeti kwa watumisi wote wa mashirika ya umma, atakuwa na mpango gani kwa watumishi wa sekta/makampuni binafsi walioajiriwa kwa ujanja ujanja na baadhi kwa kutoa rushwa za ngono ama kutumia vyei visivyo halali. ninafahamu fika ya kuwa waziri wa kazi (serikali) has limited scope juu ya namna ya uendeshwaji wa mashirika na kampuni binafsi, lakini wafanyakazi ****** waliopo na kujaa huko katika kampuni binafsi wanaumiza uchumi wa nchi yetu kupitia utoaji wa huduma mbovu na zisizokidhi viwango.

watanzania kamwe hawataweza kushindana na watu kutoka nchi zingine katika jumuiya ya afrika mashariki kama tatizo la ubabaishaji katika utoaji wa huduma katika sekta binafsi alitadhibitiwa mapema

naomba kuwasilisha.
nimeipenda ni lazima tuwe wakweli serikali ilitazame hili kama inahitaji kuwa na ajira nyingi na zinazoshikiliwa na wasomi si vilaza,kanyaga twende wizara ya kazi
 
nimeipenda ni lazima tuwe wakweli serikali ilitazame hili kama inahitaji kuwa na ajira nyingi na zinazoshikiliwa na wasomi si ******,kanyaga twende wizara ya kazi
tupo pamoja sana. nimepita mimi huko sekta binafsi nimeyaona mengi tu sasa mtu anapokuja kutaka kutetea makanjanja sijui inakuwa ana maana gani
 
unajua kuna tofauti kati ya ajira za taaluma na ajira za uzalishaji. mtu anaeendesha mashine wakati mwingine anahitaji maelekezo tu na akazalisha kwa faida, kusema sekta binafsi inamaanisha nyingi si za huduma ni za uzalishaji. ntakupa mfana. msafirishaji ambaye angehitaji kuajirimtu mwenye digrii moja kuyafatilia magari yake anaajiri wa kidato cha nne anafunga magari yake mitambo ya GPS anayaona akiwa nyumbani, mwenye kuuza bia anaweka wakala mwenye elimu ya f4 mradi anajua kusambaza, wahasibu wamemezwa na 'accounting package' ambazo zinahitaji f4 ku input tarakimu tu mambo yanaenda kwa ufanisi....nk
Mfano wako tu mdogo unaonesha 'huna elimu'. Naomba unielewe vyema, sijasema hujasoma, nasema huna elimu. Fleet Management ni very serious profession ambayo sio tu inahitaji msomi, bali attitude as well. Tracking Devices kwenye magari yako zitakusaidia kuona mambo mawili matatu, je zitafanya pia maamuzi? GPS itapromote madereva, itasitisha route zisizo na faida, itabadili njia, au wewe shida yako ni kuziona tu?

Huu ujinga ujinga ndio unatufanya tushindwe kuwa wawekezaji. Rasilimali watu ni muhimu kuliko unavyodhani. Kuna tofauti ya kusambaza bia na kupromote market ya bia. Soko linapaswa liende likitanuka. Uache kuajiri mtu anayejua kufanya market analysis ukimbilie cheap labor kwa kudhani unasave. Biashara itakufia mkuu. Waulize wenzako waliokurupuka na mikopo kufuga mbuzi wa maziwa kwa kuwaajiri wachunga ng'ombe wawalishe...kuna mtu ana hamu ya mbuzi wa maziwa tena
 
Back
Top Bottom