Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,070
kaka, mambo sio rahisi kama unavyofikiri. kuna story ya jamaa mmoja kumfanyia mgonjwa operation ya tezi dume ilhali yeye hakusomea udaktari, he was just an attendant, sasa hali kama hii wewe unaitetea vipi?[/Color]
Hapo inaonesha huna uhakika.
Usinichukulie naunga mkono watu kumiliki fake certificate la hasha bali kuna some of field hazihitaji hizo certificate.