Waziri wa JK akimbia wanafunzi wa muhimbili

Ni mwanzo mzuri wa kuelekea pale tunapopataka! Kama huyo wa Tanroad sioni sababu ya yeye kulipwa pesa zote hizo, wakati daktari bingwa bado analipwa laki tano
 
Migomo isiyo endelevu na yenye kuisha baada ya masaa au siku kadhaa me nawaita wanafiki wote wanaoshiriki,. Eti mnagoma kisa wabunge wameongezewa posho, hebu turudi kwenye hali halisi ya watu wengine, kwa mfano...mbona Director of Tanroads anilipwa 15million per month,Gavana wa bank kuu analipua 13million per month,Commissioner General wa TRA and D.G wa Tanapa etc wanalipwa 10million and above with free cars and houses,sasa why wabunge wasilipwe hizo?...hawa wengine hawa tumii pesa zetu and who are they?.....nikikupa budget ya state house siutachukia (just president clothes allowence )

JAMANI TUMIENI USOMI WENU KUONA MBELE NA KUFIKIRIA NJE YA BOX, KUNA BIG GAP SANA KATI YA MTANZANIA WA KAWAIDA NA YULE AMBAYE KFANIKIWA KUWA KWENYE MFUMO. ME NITAWAUNGA MKONO TU ENDAPO KUTAKUWA NA MGOMO WA KITAIFA UNAONGALIA PANDE ZOTE NA SIO KUSUBIRIA TUKIO KUTOKA KWENYE MEDIA AFU MNAKURUPUKA.

THINK AGAIN=FIKIRIA TENA.

Wewe ambaye una uelewa wa hayo yote na bado huchukui hatua ndio una matatizo.

Kuwepo kwa tatizo moja hakuwezi kuhalalisha tatizo jingine.

Wao wanajua hilo lililotangazwa kwenye vyombo vya habari na wewe ungewaunga mkono kwa kuongeza yale unayoyajua ili kuwezesha mgomo wa kitaifa unaoutaka.

Hata wewe unaweza pia kuanzisha mgomo wa kitaifa na wengine wakuunge mkono sio lazima usubiri waanzishe wengine...
 
pamoja na kuonyesha hao wengine wanaolipwa hela nyingi umenisikitisha kwenye sentensi yako "why wabunge wasilipwe hizo?" kwaio inaonekana moja kwa moja umetoa list yako hiyo sio kupinga ila kujustfy wabunge kulipwa hivyo. sina wasi wasi wewe ni mbunge, sasa endeleeni kugawana hii nchi ila mda wenu sio mrefu.
unasema "ME NITAWAUNGA MKONO TU ENDAPO KUTAKUWA NA MGOMO WA KITAIFA" huo mgomo wa kitaifa unategemea uletwe na nani?? kama wewe umekaa unachekelea posho za wabunge unategemea nani afanye hivyo?? you have to appreshiate hata hicho kidogo kilichofanywa na sio kukaa kubeza watu hapa. we umefanya nn so far ambacho unaweza kujivunia kwa nchi hii?? watanzania kwa style hii hatuwezi kuendelea.
 
Back
Top Bottom