Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 662
Hiyo nukuu kaitoa nani wewe mleta habari feki wewe? Atakiwa kujiuzulu na nani, Dot Connector. Halafu nukuu yenyewe inaendelezwa na opinion yako. Shule gongana!''vodacom na waziri Nchimbi ubinadamu ni zero ni bora kushuudia walimbwende na mikogo ya kuhingia kuliko kuonyesha utu . Visingizio vya kupata hasara suala la Michezo kutokuwa miongoni mwa masuala ya muhungano'' ni matusi na Dharau kwa watanzania