Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni apata Ajali

Huyu lazima wampeleke Kenya au southafrica kwa ndege ya kukodi fasta. Kama kutegemeaa hapa Tz imekula kwake.

Haa!? inamaana mkuki kwa nguruwe? ... Lakini nina imani kwamba madaktari watasitisha mgomo kwa muda ili kumtibu dokta Ulimboka, and then wata-resume strike yao.
 
RFA News leo saa 6:30 mchana, alikuwa akienda mwanza kufungua mashindano ya Afrika Mashariki ya mchezo wa vishale na hiyo kupata ajali eneo la mlima pasua kijiji cha Nanga wilayani Igunga mkoani Tabora. amelazwa katka hospitali ya wilaya ya nzega mkoani humo.
 
Mheshimiwa Sipika hawa madaktari watu wabaya sana nadhani ni wanachama wa kama si Chadema,ni Alhshababu au Uhamsho naona serikali yetu sikivu ikawatimue wote Liwalo na Liwe
Mheshimiwa Sipika baada ya kutoa shukrani zangu sasa natoa kero ya jimboni kwangu, Jimboni kwangu igunga hatuna hata Dispensary moja , Daktari ndio kabisa sijui kwa nini hatuletewi , kwa hiyo naomba Waziri Mkuu atuletee angalau jamani kadaktari kamoja maana watu wanakufa kwa kukosa tiba , hata wakienda kwa Babu Loliondo msongamano ni Kilomita 10
Mhesimiwa Mama Sipika naunga hoja kwa pasenti 500
Amina

:biggrin1: poleni jamani yani hata daktari mmoja kwenu hakuna inamaana hilo jimbo lenu halina wasomi au wote wanakimbilia mijini
 
RFA News leo saa 6:30 mchana, alikuwa akienda mwanza kufungua mashindano ya Afrika Mashariki ya mchezo wa vishale na hiyo kupata ajali eneo la mlima pasua kijiji cha Nanga wilayani Igunga mkoani Tabora. amelazwa katka hospitali ya wilaya ya nzega mkoani humo.

Huyo mwacheni madaktari wamchangamkie chapchap.
 
"Aisifuye mvua imemnyea"
Aisee hii imetulia,inaitwa "Twanga Kotekote" madr. walipogoma ,wakafa wananchi,Dr.ulimboka kapigwa wakasema safi sana kwa sababu ndiye kiongozi wa mgomo naye aone utamu wa mgomo,sasa zamu imefika kwa wao,huku madr. wamegoma.Tuone kama watarudia kutokuwa lipa madr. haki yao.Mungu anaamua kuwaonyesha.Nafikiri akipona atakuwa balozi mzuri sana wa matatizo ya madr.

kUMBUKA waliogoma ni hospitali za serikali hawa jamaa huwa hawendi huko especially time like this. utakisikia tu ataletwa Agakhani or Regency tiba itaendelea kama kawaida
 
Sasa hivi watakuwa wanamwandalia paper apae kwa wahindi Apollo kupunga upepo.
 
Duh watanzania tumefikia hapa. Siku zake zikifika wala kauli yako hii hatatakiwa.
 
Ile roho ya kibinadamu uliyokuwa nayo siku hizi imekutoka au ni baada ya kujiunga na freemason? Chukulia angekuwa ni Dada yako au Mama yako
 
Waziri wa kazi wa serikali ya kikwete apata ajali huko Igunga mkoani Tabora.
Source:Magic FM radio.
 
RFA News leo saa 6:30 mchana, alikuwa akienda mwanza kufungua mashindano ya Afrika Mashariki ya mchezo wa vishale na hiyo kupata ajali eneo la mlima pasua kijiji cha Nanga wilayani Igunga mkoani Tabora. amelazwa katka hospitali ya wilaya ya nzega mkoani humo.
du. alienda kufungua mashindano? ndo kazi zao hizi sio?
 
.... amechomekewa na basi, ambalo ni la kampuni ya mmoja wa magamba ! Na dodoma mmefukuza madaktari, so anakwenda kutibiwa na Mbunge mwenzie, Majimarefu chini ya usimamizi wa mchumi daraja la kwanza kutoka mwisho !!
 
Nimepita mahali gari ilipopata ajali inaonyesha gari lilipinduka upside down lakin sasa limeinuliwa sababu limegeuka lilipokuwa linatoka na limeumia sana upande wa mbele, platenumber hazipo sasa sifaham maofisa wa usalama barabarani wamezitoa au la! bahati mbaya sikuweza kupiga picha nipo kwenye public transport
 
kwa nini hawakumpeleka Igunga wakamkimbiza Nzega????Nanga ni kilomita 20 kutoka Igunga na kilomita 69 kwenda Nzega....!!!!????
 
Back
Top Bottom