Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Kuthibitisha kuwa amesoma zamani wakati fedha ina thamani na ma figure makubwa sana walikuwa hawayatumii waziri wa fedha Dk William Mgimwa ameshindwa kutamka neno trilioni hata mara moja wakati anasoma vifungu vya bajeti na kuishia kusema milioni laki moja... au bilioni elfu moja...
My Take: huyu jamaa hajazoea mahela yenye figure kubwa na digit nyingi kama akina Shimbo tukiskia tu ameagiza ma Vogue mengi kama Mkullo tutajua ni hela yetu imekwapuliwa
My Take: huyu jamaa hajazoea mahela yenye figure kubwa na digit nyingi kama akina Shimbo tukiskia tu ameagiza ma Vogue mengi kama Mkullo tutajua ni hela yetu imekwapuliwa