Waziri wa Fedha, Dr Mgimwa awasilisha Bajeti ya serikali 2013 - 2014

Ukiondoa China, Korea na India nchi zingine zote zitakazotusaidia kwenye bajeti ni za KILIBERALI
 
mikopo ya nje yenye masharti nafuu ya kibiashara ni 11654 bilioni kutoka taasisi za nje kugharamia miradi ya maendeleo
 
in fact nasubir kwenye scale...blablaa hizi zingine mi haziniingi kabisaaaa. cjui ni pge ya ngapi jamani,mi naendelea kulipa kodi hapa kwa kupata sere ya baridi., sitaki kuitia serikali umaskini.
asante ndugu kwa kuendelea kuchangia kampuni zetu za pombe, leo tutaongeza kodi kidogo tu...!!!
 
serikali itakopa kutoka nje mikopo yenye masharti nafuu kiasi cha dora 700 ambazo zitatumika kwenye miradi ya maendeleo.
 
sera za matumizi ni
  1. kutumia tunachopata
  2. matumizi hayatazidi asilimia 5 ya pato la taifa
  3. matumizi kwa mujibu wa vifungu vilivyopitishwa na bunge
 
Kugharamia mishaharana kuilipa kwa wkt, vitamvulisho vya taifa, sensa ya watu na makazi, gharama za uchaguzi mkuu05
 
serikali itagharimia mambo yafuatayo.

mchakato wa katiba mpya

kugharimia uchaguzi mkuu ujao.

kuendelea kugharimia utoaji wa vitambulisho.nk
 
Back
Top Bottom