utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Hii bajeti ni nzuri,sasa tupige kelele kwny utekeleji
Kwa kweli nilikua napata kichefuchefu kwa makofi yanayopigwa pale bungeni mpaka nimeamua kuzima mchina wangu, shame on them, hivi ni nini kinachowapeleka pale? Kuna furaha gani mpaka ikawa wao ndo wanaweza kusapot vitu visivokua na msingi, iv mbona mabunge mengine hatusikii utumbo kama huu wa makofi yaliyokua hayana utaratibu. Mwisho hapa ndo nilijua bunge hili ni la aina yake na utalikuta Tz tu pale niliposikia watu wa bodaboda watakuwa hawakati leseni, ilikua ni makofi tuu, jamani pumbazo hili mnatufanya sote ni wapumbavu? Hebu wabunge wetu tuambieni kama nyie mukiwa munapiga makofi kama hivo sisi huku nje tufanyeje?
Hata barabara za juu tuliambiwa na Magufuli kwamba ujenzi umeishaanza Maeneo ya Tazara .
Kwani ukisoma kwa kliingereza ndio kujua sana au ulimbukeni?
tanzania kuna vyanzo vingi vya mapato, madini, maliasili, utalii, inakuwaje pombe na vinywaji ndo viongoze nchi....this is bullshit..
najuta kuzaliwa tanganyika aka tanzania bara.
sio kweli ila ni Tsh. 1900 kwa mwezi ipitie vizuri
Kwa akili za kawaida tu, kuondoa kodi kwenye bodaboda inawasaidiwa vijana au mwenye bodaboda? Zunguka kwenye vijiwe vya bodaboda ujionee wamiliki wa hizo kitu. Nenda kawahoji waendesha Taxi na bodaboda/bajaji nani anapata income kubwa kuliko mwenziwe. Nenda MOI kaangalie majeruhi wa bodaboda kisha ungekuwa policy maker kama ungelihamasisha hizi kitu. Ni majanga; hii policy na mbaya haina wema kwa vijana hata kidogo tofauti na alivyoweka mbwembwe pale wakati akiwasilisha hii kitu.Jaribu kuweka siasa pembeni.
Kwa akili za kawaida tu, kuondoa kodi kwenye bodaboda inawasaidiwa vijana au mwenye bodaboda? Zunguka kwenye vijiwe vya bodaboda ujionee wamiliki wa hizo kitu. Nenda kawahoji waendesha Taxi na bodaboda/bajaji nani anapata income kubwa kuliko mwenziwe. Nenda MOI kaangalie majeruhi wa bodaboda kisha ungekuwa policy maker kama ungelihamasisha hizi kitu. Ni majanga; hii policy na mbaya haina wema kwa vijana hata kidogo tofauti na alivyoweka mbwembwe pale wakati akiwasilisha hii kitu.
Mkuu, ile hotuba haina maana, kuna vyanzo kibao vya mapato sijui inakuaje...Kuna madini, utalii, gesi, simu, nk. Kukimbilia kupandisha petroli na dizeli, road licence, nk ni kutaka kutuangamiza watanzania wa kipato cha chini na kati. Hawa ni wahuaji, ningetamani kama tungekuwa na wanaharakati wenye akili kama wale wa Kenya tungeandamana mpaka malango ya Bunge kuonyesha kutufurahishwa kwetu na hii bajeti ya mauti.
(i) Kuongeza kiwango cha Ushuru wa Bidhaa kwenye magari yasiyo ya uzalishaji (Non-Utility Motor Vehicles) ya umri wa zaidi ya miaka 10 kutoka asilimia 20 hadi asilimia 25. Hatua hii inalenga katika kupunguza uagizaji wa magari chakavu, kulinda mazingira na kupunguza ajali;
Mkuu,
Hiyo ni mishahara ya mwaka.
Hizo ni silaha za vita tu nami sikusema vita ni muhimu. Sijui kama unajua tofauti kati ya ubabe na vita.Silaha Pesa , Kisu Mzigo ! Ubabe upi unaousema mkuu ?