Waziri wa Elimu na Mafunzo Stadi unawaogopa mafisadi waliochini yako?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kumekuwa na tuhuma mbalimbali zinazotolewa katika magazeti juu ya ufisadi unafanyika katika Vyuo vya elimu ya juu. kwa mfano kuna tuhuma za ufisadi katika Chuo Kikuu cha Tanzania na Chuo cha Mwalimu Nyerere-Kigamboni. Hakuna hatua za dhati zinazochukuliwa juu ya ufisadi huu. Wahusika katika JF mlione hili na mlifikishe kwa wahusika. Wana JF tuangalie ni kwanini Waziri wa elimu hashughuliki na mafisadi hawa? anawaogopa? au wengine ni wazazi wake?
 
Mafisadi wote washughulikiwe bila kuogopwa ili kuimarisha nidhamu katika uongozi wa taasisi za umma.
 
anaitwa nani?

Back
Top Bottom