Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Status
Not open for further replies.
tena bado anajinasibu kwa mbwembwe kuwa ni waziri wa afya wa SUKZ, walaka wenyewe umeandaliwa kwa jazbaaa.. hili ndio ombwe la uongozi

Ingelikuwa nchi za wenzetu waraka huu ulitosha kumfukuza kazi leo leo.
 
Mtawezaje kuwaondoa CCM ilhali mnatukanana na mwisho wa siku kuopa credit CCM?Kama Waziri hakupaswa kutoa matusi.Je yeye ana uhakika kuwa ni safi? Na je tukianza kufuatilia maisha binafsi ya watu kuhusu ndoa zao siitafika mahali nafuu ya Dr.Slaa aliyeamua kusema ukweli? Matusi hayajengi. CUF kuweni wapinzani halali,msipige vita vyama vingine vya upinzani.Ukiniuliza viongozi wanaopenda kuongelea juu ya udini nadhani wa CUF wanaongoza,mfano matamko anayotoa Prof.Lipumba kwenye misikiti.Watanzania hatuwezi kudanganywa kila siku,kama matendo ya CUF,CCM na CHADEMA yote tunayajua sasa ni kila mtu kuamua chama gani afuate ni ya mtu binafsi,viongozi waelewe kuwa Watanzania ni waelewa kulivyo wanavyofikiria wao.
 
Title ya thread hii imekosewa eidha kwa bahati mbaya au makusudi ili kuvuta macho ya wasomaji kama mimi niliyekuja kutafuta hayo matusi badala yake nikakutana na hoja za Duni. Kumbuka pia TzDaima ni mshirika wa CDM na wasingeandika matusi dhidi yao. Mnaoshabikia kuwa ni matusi mna hoja dhaifu kuliko mwandishi wa makala hiyo.
 
"CHADEMA wamekuwa wakifanikiwa wakisambaza na kufanya siasa nyepesi nyepepi za maji taka kwa Watanzania Bara kwamba eti CUF ni “CCM-B” kwa sababu ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (Government of National Unity Zanzibar)."
maneno haya yanasemwa na mtu mwenye kuwaza sn uumini wake badala ya maisha magumu yanayo wapata watu wengi, jamani ni vema tukaungana kuwatetea wa TZ kwa ujumla badala ya kuumana mwisho tutamalizana wenyewe kwa wenyewe ambao sote tupo kuusaidia umma wa Tanzania
 
Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.[/QUOT
Alah! Kumbe hata wewe unajua kwamba Cuf imeolewa na CCM! Kwahiyo unachosubiri ni kuona na vyama vingine vyote vinaolewa. Hongera kwa kuutambua ukweli hata kama Cuf wanapinga, angalau Ritz amethibitisha.
 
Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.[/QUOT
Alah! Kumbe hata wewe unajua kwamba Cuf imeolewa na CCM! Kwahiyo unachosubiri ni kuona na vyama vingine vyote vinaolewa. Hongera kwa kuutambua ukweli hata kama Cuf wanapinga, angalau Ritz amethibitisha.

Kwa hiyo na wewe umekubali maneno yangu na nyie Chadema wakati wowote mnaolewa na CCM.
 
Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.
Alah! Kumbe na wewe unajua kwamba Cuf imeolewa na CCM na kwamba kilichobaki ni mwisho wa siku vyama vyote kuolewa! asante sana kwa kuthibitisha hilo japo Cuf wanapinga.
 
Cdm watu wa ajabu mkiambiwa ukweli mnatukanwa Hamuwezi vumilia ukweli mna fragile ego kwa hio acheni siasa.MLIPOWANYWESHA WASHABIKI WENU VIROBA WAKAMTUKANE WAZIRI MKUU MWANZA MLIONA SAWA.
 
Tatizo moja la Chadema ni kuwa wenyewe siku zote wanajiona wapo sahihi kwa kila jambo.

Mimi nimeipenda sana makala hii ya Mh Juma Duni Haji, kwani amelenga penyewe hasa kwa kuituma kwenye gazeti lao.

Hakika huo ni ujasiri mkubwa sana kwa Juma Duni.

Hongera sana Mh Juma.
 
Mkuu unafikiri kuna dhambi ndogo na kubwa? Hivi sasa unamsikia Baregu akipiga miayo? acha wewe, unajua anavuna shilingi ngapi kwa siku? Subirini tu akimaliza kazi hiyo ya katiba atatangaza kurudi CCM.
Nimeisoma hiyo supu ya utumbo iliyochacha kutoka kwa Duni Haji.

Sasa hapa wewe uliye mtetezi wa CCM na mtetezi wa CUF at the same time, so are Ritz, Mtu wa Pwani and Co........mnataka kutuambia kwamba njaa ni kitu kibaya sana? kwamba Maalimu na akina Duni wameshapata ulaji kwa sababu ya NJAA zao, na wameolewa Jumla?

Anyway, ni maajabu kwamba unaweza kuulizwa swali jepesi, badala ya kulijibu ukajikuta unatoa siri za chumbani.

Interesting....!!!
 
Mkuu FJM,
I am shocked. Na huyu ni Waziri, jee itakuwaje kwa mvuta bangi wa mtaani akitoa makala yake? Jamii ya kina Lusinde inazidi kuwa pana. Na mbaya zaidi ni pale wanapokuwa ni viongozi wetu. So sad.

Hiyo makala ilitakiwa iishie Chumbe. Kuvuka bahari ni kujivunjia heshma na ndicho huyo Duni alichofanya. Haipendezi hata kidogo kwa mtu mzima kutoa kauli zinazokinzana kwa sababu tu ya kufarahisha watu. Duni anaongelea Tanzania ipi wakati haamini anachosema? Na bila aibu anamalizia kwa kusema 'Mungu ibariki Tanzania!
 
Wapenzi wa CHADEMA hakikisheni hii makala inawafikia viongozi wa CHADEMA. Kuna mambo muhimu sana kuliko matusi ambayo Duni ameyaandika na ambayo kama CHADEMA watayazingatia wataacha siasa za maji taka baina yao na CUF.

Kuna maneno machache ukiyachukulia kijuu juu utaudhika lakini makala imebeba ujumbe mzito. Hasa anapozungumzia ushirikiano wa vyama vya upinzani na kutengeneza mazingira ya siasa shirikishi.

Kwa wanaomwona Duni ni mwendawazimu, kuna haja ya kupima afya zao.Sio rahisi Tanzania kupata mwanasiasa ambaye hatafuni maneno. Kwa makala hii, Duni anaonekana ni mmoja wa hao.
 
Kwa hiyo na wewe umekubali maneno yangu na nyie Chadema wakati wowote mnaolewa na CCM.
Mnatafuta mke mdogo?
Mke Mkubwa CUF amesharithia mumewe (CCM) ioe tena?.........angalia isije ikaoa kidume. mume na Mke mkubwa wote mkashughulikiwa!

Akili nyepesi..........mnaongea huku mnajichanganya changanya tu! Hopeless
Subirini 2015, tutawa:photo:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom