nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,620
Ikumbukwe juzi Waziri Mkuu alitoa taarifa kuwa zoezi la uhakiki limekamilika nchi nzima na serikali sasa itaanza kuajiri na kupandisha vyeo watumishi wa umma. Cha kushangaza leo Jumamosi Waziri wa ajira na kazi amesema, zoezi la uhakiki bado linaendelea kwa watumishi hewa.
Hapa kazi tu
Hapa kazi tu