Waziri wa afya wa Kenya ataka babu akamatwe

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
waziri wa afya wa Kenya Bi Mugo amesema atamshinikiza waziri wa afya wa Tanzania ili babu akamatwe. Sababu aliyoitoa ni kuwa babu ni mganga wa kienyeji na anadanganya watu kuwa anatibu. Ushauri huo atampatia watakapo kutana kwenye mkutano nchini Rwanda.
Sasa nimejiuliza,pilipili iliyo shambani inamuwashia nini?? Kama hataki Wakenya watibiwe si wafunge mpaka?

Source. NTV
 
mimi mwenyewe namuunga mkono. Tena naona anachelewa kutoa ushaur kw wazir wa Tz! Big up wazr wa afya kenya! Kamaten kabsa huyu babu!
 
Namuunga mkono,
Kama tu wazungu walitetea haki ya Mtanzania kwenye................
Naona kwa upofu tulio nao bora Kenya mtusaidie.
 
lakini tuangalie hapa jamani.....babu hajaita mtu
 
Unajua hii nayo ni dalili babu ananguvu za ajabu, kwani kuna waganga wangapi wa kienyeji na hawajakamatwa. Basi waanze na Shehe Yahaya!
 
Babu akamatwe kwamba anawatoa watu majumbani kwao na kuwapa dawa au? Acha kuandika kabisa habari zake na matendo yake yatawapeleka au kuwafukuza watu kwake.
 
Babu hana kosa lolote, watu wanamfuata wenyewe hajatangaza mahali, wala hajaweka bango.
 
Thread kama hii ilikuwepo leo mchana lakini kama kawaida kutokana na mods kutoka Kenya kuona kwamba waziri wao alifika hatua ya kusema kwamba Kenyan police will come in Tanzania to arrest babu wakaiondoa ... .. where do we dare to talk openly! Absolutely madness.
 
Namuunga mkono,
Kama tu wazungu walitetea haki ya Mtanzania kwenye................
Naona kwa upofu tulio nao bora Kenya mtusaidie.

mimi mwenyewe namuunga mkono. Tena naona anachelewa kutoa ushaur kw wazir wa Tz! Big up wazr wa afya kenya! Kamaten kabsa huyu babu!

Kosa la Babu ni nini? Kwa sababu anapata wateja wengi? Sijaona kosa lolote alilofanya Babu ... huu ndio tunaita uzandiki wa hali ya juu wanashundwa kuwakamata majangili wataweza kumzuia babu thubutu! Hao wanaotakiwa kumkamata wamekunywa kikombe cha Babu wacheni ndoto za mchana kweupe wakati jua linawaka. Semeni kosa la Babu. Yaani ukichemsha mizizi imekuwa ni kosa? tena bei poa tu jongeeni nanyi mpate khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona Babu ataharibu majina makubwa ya makampuni ya madawa ya ulaya na marekani.
 
Unajua hii nayo ni dalili babu ananguvu za ajabu, kwani kuna waganga wangapi wa kienyeji na hawajakamatwa. Basi waanze na Shehe Yahaya!

Yaani hapo umenena mkuu. Waanze na Prof. Maji Marefu kulee bungeni
 
waziri wa afya wa Kenya Bi Mugo amesema atamshinikiza waziri wa afya wa Tanzania ili babu akamatwe. Sababu aliyoitoa ni kuwa babu ni mganga wa kienyeji na anadanganya watu kuwa anatibu. Ushauri huo atampatia watakapo kutana kwenye mkutano nchini Rwanda.
Sasa nimejiuliza,pilipili iliyo shambani inamuwashia nini?? Kama hataki Wakenya watibiwe si wafunge mpaka?

Source. NTV

bora umwambie maana, badala ya kudili na watu wake wanaotoroka kuja huku, ana m-mind babu wetu, biashara ushindani na yeye amu-apoint mtu huko kwao atangaze huduma, mbona bongo wanaibuka kila siku, nasikia kuna mwingine kaibuka mbeya, kabla nilisikia yule wa kilimanjaro ambaye bei yake ni ilei ile 500, lakini dozi ni vikombe viwili, kwa hiyo lazima uwe na buku.:tea:
 
Mwacheni babu wa watu. Hajaita mtu. Watu wenyewe ndio wamemind kikombe.
Huyo waziri wa afya Kenya ni mpuuzi na akae kimya. Najua babu angekuwa mkenya asingepiga kelele.
Go Babuuuuuuuuuuuuuu
 
Kosa la Babu ni nini? Kwa sababu anapata wateja wengi? Sijaona kosa lolote alilofanya Babu ... huu ndio tunaita uzandiki wa hali ya juu wanashundwa kuwakamata majangili wataweza kumzuia babu thubutu! Hao wanaotakiwa kumkamata wamekunywa kikombe cha Babu wacheni ndoto za mchana kweupe wakati jua linawaka. Semeni kosa la Babu. Yaani ukichemsha mizizi imekuwa ni kosa? tena bei poa tu jongeeni nanyi mpate khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona Babu ataharibu majina makubwa ya makampuni ya madawa ya ulaya na marekani.

Nakuunga mkono mkuu lakini nawashangaa mnaosema babu akamatwe kwa lipi. Inawezekana wengi mnaosema akamatwe au ni waganga wa kienyeji kama Dr. Kifimbo au Ndondi au madaktari uchwara wala rushwa ambao mapato yenu ya ulaghai yamepata msukosuko kutokana na babu kuwafunika.

Tunamtakia Babu maisha marefu na dawa yake iongezeke nguvu na shuhuda za waliopona ziongezeke.
 
waziri wa afya wa Kenya Bi Mugo amesema atamshinikiza waziri wa afya wa Tanzania ili babu akamatwe. Sababu aliyoitoa ni kuwa babu ni mganga wa kienyeji na anadanganya watu kuwa anatibu. Ushauri huo atampatia watakapo kutana kwenye mkutano nchini Rwanda.
Sasa nimejiuliza,pilipili iliyo shambani inamuwashia nini?? Kama hataki Wakenya watibiwe si wafunge mpaka?

Source. NTV

Waziri pumbavu!
Ya watz tuachie wenyewe.
 
utakaa sn kusubr shuhuda za waliopona! Ww mwnyewe umepata kkombe na hujapona up 2 now! Una uhakka gn babu co Dk Kifimbo mwngne? Kwa kp alchonacho hasa mpk Mungu amtokee? Umeprove wp km kwl altokewa na mungu? Mjin shule mwanawane, unakula kw ku2mia akil yko na wajnga km ww ndo waliwao! Tehe tehe tehe! Pole yako.
Nkuunga mkono mkuu lakini nawashangaa mnaosema babu akamatwe kwa lipi. Inawezekana wengi mnaosema akamatwe au ni waganga wa kienyeji kama Dr. Kifimbo au Ndondi au madaktari uchwara wala rushwa ambao mapato yenu ya ulaghai yamepata msukosuko kutokana na babu kuwafunika.

Tunamtakia Babu maisha marefu na dawa yake iongezeke nguvu na shuhuda za waliopona ziongezeke.
 
waziri wa afya wa Kenya Bi Mugo amesema atamshinikiza waziri wa afya wa Tanzania ili babu akamatwe. Sababu aliyoitoa ni kuwa babu ni mganga wa kienyeji na anadanganya watu kuwa anatibu. Ushauri huo atampatia watakapo kutana kwenye mkutano nchini Rwanda.
Sasa nimejiuliza,pilipili iliyo shambani inamuwashia nini?? Kama hataki Wakenya watibiwe si wafunge mpaka?

Source. NTV

Are you a great thinker or just a great writer? Usikimbilie kusema wafunge mpaka. Wakifunga mpaka Watanzania wataumia. Kama hujui nenda madukani Arusha uone jinsi wafanyabiashara wengi wanavyopata ugali wa kila siku kwa kuuza bidhaa kutoka Kenya!
 
Back
Top Bottom