Waziri wa afya na naibu wake kujiuzulu kesho!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Tuko muhimbili ndugu zanguni
muda si mrefu mh waziir mkuu ameoka kuongea na ma dk kuhusu matayarisho ya mgomo ujao hapo jumatano..katika kmoja ya mambo aliongea amesema anaomba wampe muda tumeongea na wahusika
na naamini wanajua wajibu wao na madhara yaliotokea na yatakaotokea kuanzi jumatano
so naomba ndugu zangu muwe na subira tusubiri kesho tutapata jibu kamili

wakati huo inasemekena mama yetu nkya ameanza kukusanya vifaa vyake vyote ofisini kwa kujiandaa kuanza maisha mapya kama raia wakawaida kw habari zaidi tusubiri kesho
 
Waziri mkuu ameonndoka,muda si mrefu kurejea kwake kujiandaa na nini cha kutupa jumatano iwapo jamaa watagoma kujiuzulu
 
Hivi hao Mawaziri Dk Mponda na Dk Nkya, walizaliwa wakiwa Mawaziri? Au waligombea Ubunge ili wapate uwaziri?
Mimi nadhani Dk Mponda na Dk Nkya hawana chembe ya huruma kwa maisha ya Watanzania, wanawazia matumbo yao tu, kwa akili ya kawaida; maoni ya Madaktari ya kuwa hawana imani nao ilitosha kabisa kujiuzulu.
Kinachonikera zaidi ni ugoigoi wa serikali kushindwa kuwataka Dk Mponda na Nkya kujiuzulu. AIBU!
 
Hata wakijiuzulu, sidhani kama hatua hiyo itakidhi kiu ya madaktari kutaka kuondosha roho za watu. Hawa ma-dr wana hamu sana ya kuona watu wakikata roho huku wao wakifurahia. Kwa kweli ma dr wa tz wameshachafua sifa yao duniani. Si wa kuaminika tena. Kwao lazima pesa ipatikane hata kama itabidi watu kufa. Sijui ni pesa kiasi gani itakayowafanya waondokane na hili pepo baya. Kifupi wameshaonja damu za watu si rahisi kuacha.
 
Waziri mkuu ameonndoka,muda si mrefu kurejea kwake kujiandaa na nini cha kutupa jumatano iwapo jamaa watagoma kujiuzulu

filamu inaendelee,
episode ya leo mchezo umebadilika tunaambiwa "iwapo jamaa watagoma kujiuzulu",
jana tuliambiwa ni kikwete kawazuia wasijiuzuru.

ngoja tuone mchezso utakwisha vipi

​sio maudodo na wakweze ni baba RIz 1 NA watumishi wake,
 
Hata wakijiuzulu, sidhani kama hatua hiyo itakidhi kiu ya madaktari kutaka kuondosha roho za watu. Hawa watu wana hamu sana ya kuona watu wakikata roho huku wao wakifurahia. Kwa kweli ma dr wa tz wameshachafua sifa yao duniani. Si wa kuaminika tena. Kwao lazima pesa ipatikane hata kama itabidi watu kufa. Sijui ni pesa kiasi gani itakayowafanya waondokane na hili pepo baya. Kifupi wameshaonja damu za watu si rahisi kuacha.
Wewe sema unavyoweza lakini ukweli ni kuwa wanasiasa wengi wa nchi hii hawawathamini wataalamu, na kama umepitia madai ya madaktari usingesema hayo! Kuna maana gani kufanya kazi huku watu wakihatarisha maisha yao kwa kukosa vitu vidogo vya kufanyia kazi? Kuna maana gani kuona viongozi wakipuuza hoja za madaktari huku wao wakiwa na uhakika wa kwenda kutibiwa nje wakati magonjwa yao yanaweza kutibiwa nchini tena kwa gharama nafuu? Na je uhalali uko wapi watu kufa mbele ya daktari kwa huyo daktari kukosa dawa mhimu ya kuokoa huyo binadamu asifikwe na mauti? Ni mwanzo wa mabadiliko tu.
 
Hata wakijiuzulu, sidhani kama hatua hiyo itakidhi kiu ya madaktari kutaka kuondosha roho za watu. Hawa ma-dr wana hamu sana ya kuona watu wakikata roho huku wao wakifurahia. Kwa kweli ma dr wa tz wameshachafua sifa yao duniani. Si wa kuaminika tena. Kwao lazima pesa ipatikane hata kama itabidi watu kufa. Sijui ni pesa kiasi gani itakayowafanya waondokane na hili pepo baya. Kifupi wameshaonja damu za watu si rahisi kuacha.
hivi wewe una mental retardation?hivi zinahitajika pesa kiasi gani kuwaondoa bwana mponda na mama nkya wizarani?it looks like hujui the inside out ya huu mgomo,unausikia kwenye jamii forums tuu,
 
Hata wakijiuzulu, sidhani kama hatua hiyo itakidhi kiu ya madaktari kutaka kuondosha roho za watu. Hawa ma-dr wana hamu sana ya kuona watu wakikata roho huku wao wakifurahia. Kwa kweli ma dr wa tz wameshachafua sifa yao duniani. Si wa kuaminika tena. Kwao lazima pesa ipatikane hata kama itabidi watu kufa. Sijui ni pesa kiasi gani itakayowafanya waondokane na hili pepo baya. Kifupi wameshaonja damu za watu si rahisi kuacha.

Nenda na wewe kasomee udaktari kama undhani mchezo wa kuigiza huo,ukimwuguza mpenzi wako week moja tu unamkimbia. Eti wamechafua sifa yao duniani,uncheza wewe! watu wanagombaniwa kila nchi na tayari kibao wamesharuka.
 
Wewe sema unavyoweza lakini ukweli ni kuwa wanasiasa wengi wa nchi hii hawawathamini wataalamu, na kama umepitia madai ya madaktari usingesema hayo! Kuna maana gani kufanya kazi huku watu wakihatarisha maisha yao kwa kukosa vitu vidogo vya kufanyia kazi? Kuna maana gani kuona viongozi wakipuuza hoja za madaktari huku wao wakiwa na uhakika wa kwenda kutibiwa nje wakati magonjwa yao yanaweza kutibiwa nchini tena kwa gharama nafuu? Na je uhalali uko wapi watu kufa mbele ya daktari kwa huyo daktari kukosa dawa mhimu ya kuokoa huyo binadamu asifikwe na mauti? Ni mwanzo wa mabadiliko tu.
mkuu achana nae huyu. Ayasome madai ya madaktari wapi?inaonekana hajui anything kuhusu huu mgomo wa madaktari.,.... Anaona post tu hapa jamvini halafu anaropoka kama a schizophrenic.
 
inawezekana huyu kikwete hana mamlaka juu ya hawa watu,, inaonyesha wazi kabisa jk aliwaweka hawa watu kwa sababu aliletewa na bosi aliyemuweka hapo kwenye urais
 
Tuko muhimbili ndugu zanguni
muda si mrefu mh waziir mkuu ameoka kuongea na ma dk kuhusu matayarisho ya mgomo ujao hapo jumatano..katika kmoja ya mambo aliongea amesema anaomba wampe muda tumeongea na wahusika
na naamini wanajua wajibu wao na madhara yaliotokea na yatakaotokea kuanzi jumatano
so naomba ndugu zangu muwe na subira tusubiri kesho tutapata jibu kamili

wakati huo inasemekena mama yetu nkya ameanza kukusanya vifaa vyake vyote ofisini kwa kujiandaa kuanza maisha mapya kama raia wakawaida kw habari zaidi tusubiri kesho

Madaktari wa kibongo hawana jipya, Wakijiuzulu ndo nini?...
 
Viongozi wakuu wa wizara hawawezi kutimiza wajibu wao, there is no way, they've to step down.
 
Kwa jinsi hali ilipofikia yaani mama nkya hana ujanja tena hope ataachia ngazi yeye mwenyewe tu, ngoja tusubili
 
inawezekana huyu kikwete hana mamlaka juu ya hawa watu,, inaonyesha wazi kabisa jk aliwaweka hawa watu kwa sababu aliletewa na bosi aliyemuweka hapo kwenye urais

hili nalo neno.. maana sioni sababu ya msingi kwa mtu mwenye mamlaka ya kuwatoa kwenye nafasi zao kuendelea kuwakumbatia, think there is something behind
 
Let them goooooooooooooo
wamechelewa sana, yaani wao wandhani ni akina nani?
 
WAKIACHIA NGAZI/KUJIUZULU WATAJIVUNIA HESHIMA KWA KUONYESHA MFANO MAANA HUO UTAKUWA MWANZO WA MLOLOLNGO WA VIONGOZI KULAZIMIKA KUJIUZULU KWA MANUFAA YA UMMA WA WATANZANIA.

Watanzania watashangaa sana pale ambapo viongozi wengine wanaopatwa na hali ya kuwajibika watakapong'ang'ania viti kama vile wamegandishwa na gundi au sumaku!
 
Hata wakijiuzulu, sidhani kama hatua hiyo itakidhi kiu ya madaktari kutaka kuondosha roho za watu. Hawa ma-dr wana hamu sana ya kuona watu wakikata roho huku wao wakifurahia. Kwa kweli ma dr wa tz wameshachafua sifa yao duniani. Si wa kuaminika tena. Kwao lazima pesa ipatikane hata kama itabidi watu kufa. Sijui ni pesa kiasi gani itakayowafanya waondokane na hili pepo baya. Kifupi wameshaonja damu za watu si rahisi kuacha.

Mkuu inaonekana wewe sio mfuatiliaji wa mwenendo wa maisha ya binadamu, tena madr wa Tz wana huruma kuliko madr wote duniani!
Je ulifuatilia mgomo wa madaktari uliotokea nchini Kenya hivi karibuni!? Maoni yangu na msimamo wangu ni hivi ''bora watz wote tufe kwa kukosa huduma za madr wetu kuliko waziri na naibu wake wa afya kuendelea kua madarakani!''
Kwani hawa viongozi wa wizara wao ni muhimu kuliko madr? Waondoke bwana watuachie ofisi zetu! Lakini hii ndio hasara ya kua na raisi fisadi, mbinafsi, mwenye tabia ya undugu damuni mwake, raisi legelege na hatimae serikali legelege inayoshindwa kutoa maamuzi magumu!
Madr msimamo huohuo kwani mmeshateswa vya kutosha ile hali mlisoma kwa tabu sana katika mazingira magumu! Gomeni hata mpaka raisi aondoke madarakani kwani yeye pia kashindwa kutoa maamuzi juu ya viongozi wa wizara na madai yenu!
 
Back
Top Bottom