Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Nimesoma mahala kuwa Sofia Simba alikutana na Kitwana na wakiwa wanafunzi wa Kikwete Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Nadhani siyo kweli; huyu Sofia Simba alisoma na akina Lawrence Masha pale sheria akiwa "CHUA" mwishoni mwa miaka ya 80. Nadhani alikuwa intake moja na mama Sita au walipishana kidogo. Wakati huo Kitwana Kondo alikuwa ni Meya wa jiji la Dar na Kikwete alikuwa kwenye siasa siku nyingi sana. Inawezekana Mzee Kitwana Kondo alianza kumkamua mama huyu wakati angali akifanya huko MEIDA kabla ya kuingia chuo.
Ingawa ni kweli kuwa mama Sofia Simba "kashinda uchaguzi huo kihalali kulingana na taratibu za chama chake" yeye kama kiongozi alitakiwa atumie effort kubwa kuunganisha jumuia yake mara moja badala ya kuanza kujibarangua na mapati ya gharama ambayo yanazidi kusambaratisha jumuia yake hiyo. Angejifunze kwa mwenzake Obama aone jinsi alivyomtunza mpinzani wake mkuu Hilary, na yeye amtunze mpinzani wake mkuu Janeti ili wajenge jumuia yao. Angalia kuwa sehemu kubwa ya kabinet ya Obama imetokana na kabineti ya Clinton.
Kichuguu wewe unadhani viongozi wetu wanajua hayo? kwani atamlingishia saa ngapi opponent wake?
Haya ndio matokeo ya viongozi tulo nao leo.Nasita hata ninapowaita viongozi. In actual sense hawa ni watawala wetu!