Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

huyu ni kichefuchefu, nina wasiwasi hata familia yake anaiongoza vp, anatia aibu kwanza huyo Jk aliyemchagua sijui aliwaza nini labda ni kujuani, inavyoonekana hata kwenye familia yake huyo ni bora mama sio mama bora HAFAIIIIIIIIIIIII!
 
laiti nguvu wanazotumia kuwashambulia chadema wangetumia kutatua matatizo ya wananchi tusingefika hapa.
 
mahali wanapojaribu kutatua Tatizo sipo hasaa!!! washaurini wamalize zogo la Richmond downs umeme uwake uchumi ukue ufisadi ufe utendaji uongezeke waone kama chadema watakuwa na mvuto kwa wananchi kama wameshindwa kudeal na hayo, wategemee kuzomewa na kupigwa mawe natoa ushauri tuu!! @Wadau
 
Msimlaumu kwa anayosema kwani elimu yake ndogo inamfanya aseme chochote anachotumwa kusema bila kupimAa kina maana na athari gani
 
Niliposoma tu jina la huyu Mhusika..ahaaaaa wala sikuumiza kichwa changu tena,,.....huyu hadi mwanangu anamfahamu kwa kuropoka kwake, kuna siku kabinti kangu kaliniuliza..."eti baba, Huyu Bibi mbona hafanani na kauli zake?" mmmhh niliishia kucheka tu.
 
sishangai sophia kusema hili kwani alishawai kuwataka wanawake wawanyime unyumba waume zao kama watawaunga mkono wapinzani so sofia amaamin kwa nguvu ya ngono anaweza kumwendesha na kupata chochote kutoka kwa mwanaume.
akili yake inawaza ngono tu na labda jk kampa hiyo wizara kama offa au aweke draft ya ngono kuzima harakati za ukombozi.
Ni wanawake wajinga tu kama yeye watakaomuelewa.

my take:wanawake tunateseka zaidi ya wanaume na huu ugumu wa maisha sasa sexy slave sofia anamaanisha nini?

bora nyie mumwambie sisi atasema tumetumwa, nilikuwa siamini kama ni kweli wengi wa jinsia yake walioko ssm ni chakula ya jaykey sasa naamini.................uffffff,puuuuuu!
 
kwanzanikupepongezi yako kaka pili turudi kwenye maada ya msingi jinsia maana yake muunganiko wa watu wa dizaini mbalimbali wakiwa wanawake /wanaume /watoto/wazee/vijana
 
Alitetewa na MAKINDA asijieleze wala kujitambulisha kabisaa wakati akipitishwa kuwa mjumbe SADC ambayo haifahamu. Wapinzani walivyouliza kwanini, MAKINDA akawajibu kuwa amepita bila kupingwa. Hata kukariri umombo wa kuzugia kujieleza inakuwa tabu, Duuuuu......! Sijui anatuwakilisha vipi huko.
 
Back
Top Bottom