Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

Bwana Muganyizi asante kwa shule yako kuhusu jinsia, ndo maana naipenda JF
 
Ndugu zangu wana JF kwa kuwa tunajua historia ya nyuma ya JK aliwahi kuwa mpuliza vifimbi katika bendi ya jeshi na ndo maana anaendesha nchi kwa misingi ya taarabu sasa huyu mwanamke naye inabidi achunguzwe mbona anapenda kuhusisha mambo ya msingi na ngono? asije kuwa amewahi kuwa changudoa mitaa flan ndo maana mkwere akampatia huko.
 
carelessness.jpg

hivi hii picha ilitoka gazetini? Wapi nitapata nakala??
 
tuwasamehe hawajui watendalo maana hakuna mwenye maana hapo subirir makamba na tambwe hiza ndiyo utakoma ubishi
 
Angewambia wanawake wawape waume zao ii kitu mchana kutwa ili wasiende kuandamana
 
Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amejikuta kwny wakati mgumu pale alipowalaumu vikali CHADEMA kwa kuendesha maandamano kanda ya ziwa na kusema kua huko ni kuiga Misri na Libya!! Mama huyo badala ya kuzungumzia kilichompeleka studio kuzungumzia Siku ya wanawake duniani yeye akaanza na kusema wanawake wasiende kwny maandamano ya CDM maana wao wana kazi nyingi za kufanya kuliko wanaume ambao hawana kazi ndio maana wanaenda kwny maandamano hayo!!! Ulipofika muda wa watazamaji kuchangia ndipo huyo mama alipoanza kushambuliwa na kila mchangiaji kwamba afute kauli zake za kwamba "wanaume hawana kazi ndio maana wengi wanaenda kwny maandamano hayo" na "kufananisha maandamano ya CHADEMA na yale ya nchini Misri au Libya" Ninachojiuliza hapa wana JF wenzangu hivi hawa viongozi wetu kwann wanakua mambumbumbu kiasi hiki na ufinyu wa uelewa? Kuhusisha maandamano ya CDM na yale ya Misri au Libya huu si ndio uchochezi wenyewe!!! Halafu napenda kuuliza wana JF wenzangu nini maana ya JINSIA?! Nawakilishaa.

Wajua kuna jambo mmoja linajiweka wazi sasa maana unapo mwenzako anajipanga wewe nawe ujipange pia na ukikurupuka bila kusoma mwenzio anachokitaka nini na ukaaanza kumshambulia tuu bila sababu ndio unajikuta umejiweka kwa mtego ambao hukuujua unajipeleka.

Sasa hili liko wazi kuwa watendaji wengi wa CCM/serikalini ndio wanashindwa kumwelewa JK wao maana waondio walipaswa kuwa mstari wa mbele kutimiza kile JK anachosema ni muda wa kupiga kazi na kuweka siasa pembeni sasa simwelewi Sophia Simba na Wasira wao ndio sijui wananamchungu sana na serikali waju hawa viongozi hawajajua ni nini Upinzani wanakitaka ni kuwa Serikali Imetoa ahadi ambazo hazijazifanya na wanchi sasa sio mambumbu tena kwani nchi yetu ni iana mali nyingi sana na hawa viongozi waliopo hawajui kabisa ni jinsi gani waweze kuzitumia hizi rasilimali wananchi wao waneemeke ni wao ndio wanazila sasa wanapo pingwa wanaanza kulalamika sasa kwanini kabla ya haya wao walikuwa wapi walikuwa wanadhani watanzania ni mazuzu kuwa hawajui nini serikali amabacho hakiwatendei au?? nadhani viongozi wameanza tena zile tabia za kuropoka tena kama kile kipindi cha kampeni na ndio kimeanza sasa viongozi mkiwajibika kwa wananchi haya yote hayaji kwanini msijiulize kwanza na muwe wasikivu na msiwe na kiburi?

CCM mjipange sasa kujua ni jinsi gani mnajikwamu kutoka kwa wimbi hili la kuhakikisha wanchi wajue mkifanyacho na wafaidike nacho na ndio mtaweza wazima CDM lasivyo mtabakia kupiga porojo tuuu na kutamka kauli zisizo eleweka kwa TV nchini, Waziri Focus kwa kazi yako acha siasa zifanywe na akina makamba , Tambwe hiza na wengine na kama hamna watu basi kuna vijana wanao penda mabadiliko ndani ya CCM kutoka UVCCM wanaweza hizo kazi na mkitoa zile roho zenu za kiburi na kutotaka kusikia na mkawa wasikivu na kukubali mawazo mapya mta weza toka 2015 ila mkijifanya mnajua basi mtabaki na chama chenu nyie wenye viburi nadhani mliona KANU na ZANPF kilicho wakuta sasa mkikimbilia amani huku haki hamtoi kwa wananchi mwategemea nini??

 
sishangai Sophia kusema hili kwani alishawai kuwataka wanawake wawanyime unyumba waume zao kama watawaunga mkono wapinzani so sofia amaamin kwa nguvu ya ngono anaweza kumwendesha na kupata chochote kutoka kwa mwanaume.
Akili yake inawaza ngono tu na labda JK kampa hiyo WIZARA kama offa au aweke draft ya ngono kuzima harakati za ukombozi.
Ni wanawake wajinga tu kama yeye watakaomuelewa.

My take:WANAWAKE TUNATESEKA ZAIDI YA WANAUME NA HUU UGUMU WA MAISHA sasa sexy slave sofia anamaanisha nini?

Angejua kama wanawake wenyewe ndio wanaowaanza waume zao ili wafanye mapenzi
 
Jambo la kustajaabisha ni kwamba hakuna kiongozi hata mmoja kwenye nafasi ya uwaziri mwenye hoja za kujenga ukiondoa 6. the rest uwezo wao ni kuongoza nyumba kumi!
 
Kazi hipo kweli kweli,ama keli si bule tumelogwa ?!!

Mbona toka kitambo ndugu yani million times jinsi tulivyo logwa mtu anakuambia jamani tutunze AMANI at the same time huyo huyo mtua akuambia kutunza AMANI hakupi HAKI yako au hakutendei HAKI hapo haiingiii akilini kabisa
 
Huhitaji kumwambia Sophia Simba kuwa unampenda mara mbili..ukisema mara moja tuuu anakuvuta mkono....
 
hivi hii picha ilitoka gazetini? Wapi nitapata nakala??

Hii picha ni ya zamani kidogo nadhani 2006, gazeti nadhani ilikuwa majira, jaribu huko na nakumbuka kama picha hii haikuwa na story ilikuwa ni habari picha.
 
Nimeuliza maana ya jamvi la wageni. Nijuavyomimi, sasa kama ukikohoa tu unavutwa mkona, hako si kajamvi ka wapita njia. Hapo busara hakunaaaaaa!
 
Huyu mama ni shangingi la vigogo wa ccm.. Nadhani huu ndiyo mwisho wake baada ya 2015 atarudi kijijini..
 
Back
Top Bottom