Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,878
Mh.omar nundu ameonesha umakini na kutumia taaluma yake kwa kumuomba waziri mkuu nyongeza ya pesa ili kuongeza bajeti ya wizara yake.tatizo ni kuwa wizara aliyopewa ni bomu na litamlipukia asipokua makini kama ngeleja lilivyomlipukia.kwa kifupi,ameingizwa choo cha kike.wizara imejaa wizi na ufisadi na migogoro mf.UDA,TRL,ATCL.nundu anageuzwa kama mbuzi wa kafara!nakushauri ujiuzulu kabla hujachafuka kaka.